Nilimwambia Asile,Dushelele!

OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,251
827
Hodi mpaka ndani,dushelele hapa.Pata na kibwagizwo kidogo.

Nilimwambie asile
Ye alikula akavimba akaja
Mtoto mzuri aliye zaa na yule jamaa
Mwenye mahela, akaniacha na njaa
Kwenye mataa
Yeye akaniacha nalia na mola
Ali waleo nalia na Mola, ona
Yule aliye kupa wewe
Ndio kaninyina mimi
Na kama riziki anatoa yeye
Basi nita kosa mimi
Ila mola, ndio anayetoa
Tena kwa foleni hata kama niko nyuma
Nitapata lazima
Asile ana maana yule
Mimi na yule, tulipendana yele
Ale dushelele shele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
444367186_62b1bf6c0c_m.jpg

Dushelele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushele dushele waegoo ooh
 
<br />
<br />
KUMBE MWENYEJI EEEEEHHH, HAYA KARIBU TENA MWENYEJI MGENI

Baada ya kuona aliesema hivyo ni nyani,nimemsamehe maana inaonekana ndio anajifunza kuongea,tafadhali mwacheni ajifunze.
Asante mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom