Nilimuomba boss wangu aniongezee mshahara na hakufanya hivyo japo nilimfuata mara 3 ndani ya huu mwaka 2020

Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
2,587
4,611
Maisha yanaenda kasi sana mara paah...huu mwaka ndiyo unaishia.

Turudi kwenye mada wakuu,
unajua hawa maboss wa kibongo ni vichomi sana! Unamuomba akuongeze mshahara kutokana na kazi unayofanya, kazi inaonekana si rahisi na hujawahi kuharibu kazi hata siku moja.

Anakujibu vizuri tu "ntakuongezea but raise is a raise."

Unasubiri kuona kama ataongeza... miezi inakata holaa! daah!!! Unaendelea kumfwata mara kadhaa na kumwandikia barua lakini majibu ni yaleyale na hakuna nyongeza hata senti!

Mkataba umeisha anataka nikasign tena really! huyu boss hakika ni kichaa.
 
Kaa kwenye kazi huku ukitafuta kazi nyingine yenye maslahi.....kuacha kazi kabisa nako ishu kwa hali ya sasa ilivyo..japo kama umejipanga na unauhakika usisaini tu huo mkataba tafuta kwingine kwenye maslahi zaidi
ushauri mzuri sana.
 
maisha yanaenda kasi sana mara paah...huu mwaka ndiyo unaishia.

turudi kwenye mada wakuu,
unajua hawa maboss wa kibongo ni vichomi sana! unamwomba akuongeze mshahara kutokana na kazi unayofanya, kazi inaonekana si rahisi na hujawahi kuharibu kazi hata siku moja.
anakujibu vizuri tu "ntakuongezea but raise is a raise."
unasubiri kuona kama ataongeza... miezi inakata holaa! daah!!! unaendelea kumfwata mara kadhaa na kumwandikia barua lakini majibu ni yaleyale na hakuna nyongeza hata senti!

mkataba umeisha anataka nikasign tena really! huyu boss hakika ni kichaa.
sasa boss wako anapata wapi hela wakati biashara zenyewe siku hizi zinapumilia mashine.Unachotafuta ni kufukuzwa kazi kwa sababu wako wenzako mtaani wako radhi hata kuja hapo kujitolea tuu.

Mabosi huwa hawapendi watu walalamishi kama wewe.Kupandisha mshahara ni kazi kubwa sana .Ndiyo maana hata Mh.Magufuli hiki ni moja ya kitu kimemshinda kwa kipindi chote toka awe raisi
 
sasa boss wako anapata wapi hela wakati biashara zenyewe siku hizi zinapumilia mashine.Unachotafuta ni kufukuzwa kazi kwa sababu wako wenzako mtaani wako radhi hata kuja hapo kujitolea tuu.

Mabosi huwa hawapendi watu walalamishi kama wewe.Kupandisha mshahara ni kazi kubwa sana .Ndiyo maana hata Mh.Magufuli hiki ni moja ya kitu kimemshinda kwa kipindi chote toka awe raisi
sijawahi mlalamikia boss kuhusu mshahara, ni wajibu na haki kuomba kuongezewa mshahara. na huwa anakubali lakini hatekelezi!
 
Hakuna sehemu nilikosemakiliwahi kuwa chepesi, ila kuna watu hawajawahi experience ugumu wa kitaa ndiyo uwa tunawakumbuhsa. Kama wewe unaujua basi ni vizuri utakuwa unafanya move ukiwa tayari na plan.
fursa zipo na zitaendelea kuwepo, tunanyonywa sana mpaka inaboa!
 
Back
Top Bottom