Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Loly wanaume wanatongoza wanawake wanaowafahamu na wanaokutana nao kwa namna mbalimbali, km alivyokutana na wewe. Kama kweli humfeel tell him the truth

Wewe kama unaweza kumfeel kaka yako kazi kweli, Mimi sina hizo namuona kama kaka tuu
 
Hivi mtu unayemheshimu akikuambia anakupenda (yaani akikutokea) maana yake ni kwamba yeye hakuheshimu au maana yake ni kwamba hataki heshima yako? Hivi mke na mume maana yake ni kuvunjiana heshima jamani?

Labda kama anaye mke au anaye mtu wake na amewahi labda kukutambulisha, basi hapo jaribu kumhoji inakuwaje na anataka nini kwako.., wala huna haja ya kutopokea simu zake! Jiamini!
 
Bidada usikubali pengine huyo kaka anataka kukuplay asepe, hayo mahusiano ya ukaka komaa nayo usiwaendekeze hawachaguagi mahali pakutongoza, Wanaume ni wahuni sana
 
kwani kuna shida gani?kakako mmezaliwa wote? wewe kama umependa maliza kaz kama hujapenda unamchana pia.. kutokewa na mtu unaemuheshimu c dhambi!
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?

mmmmmmh kwa hiyo mtu akimfanyia hayo msichana "kuonyesha kujiheshimu,,,," anabadilika na kuwa baba au kaka wa damu na hawezi kutangaza nia kwenye jimbo husika,duuuu!
 
Wewe kama unaweza kumfeel kaka yako kazi kweli, Mimi sina hizo namuona kama kaka tuu

Sio kaka yako!!! Sio dhambi kuwa nae!! Kutongozwa sio dharau!!!
Infact, rafiki yako kuwa wifi yako ni faida kwako!
 
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?
Sasa kama hautaki unaomba ushauri wa nini? Si umeshakataa....? kausha bas. Fanya kama hakijatokea kitu sio unakuja kuomba ushauri wakati ushaamua...
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?

Nadhan hapa kuna mambo kidogo nikuchambile labda yatakusaidia.

Unajuwa huyo kaka si kaka yako wa kuzaliwa naye. Sasa suali la msingi je wewe unamtaka?? kama humtaki ni suali jengine. Kuhusu hiyo heshima kwamba unamuheshimu hilo si jambo rasmi sana kwa mtu ambaye muko level moja na si ndugu yako wa damu.

Jengine ivi kwa mtazamo wako wewe kuna binadamu gani duniani mwanamme au mwanamke aweze kujenga heshima akae tu eti ajenge heshima na mvulana na msichana ambaye kwa mujibu tartibu sahihi munaweza kuoana halafu ukifkiria mtakaa tu na ile heshima siku zote?? hili kwa mwanamme rijali haiwezekani utambule hilo.

Laikini kama shida yk ilikuwa hiyo siku1 uliofahamishwa kwanini uliweza kumtumia huyu mwanamme kwa kila shida zako?? mana hapa inavyoonekana kama na wewe ulijitakia huku ukijipa moyo kwamba sisi tutabaki na heshima tu. Sisi wanaume hatuwezi kwa sababu kimaumbile tumeumbwa na hisia na wakati mwengine kesi kama hii hutokea kwa mwanamke kumtaka mwnamme sio kwa mwanaume tu lazima uelewe.

Mwisho kabisa, hakuna kosa lolote ukiwa na huyu brother mana sio ndugu yako wa kweli ni kaka wa kupanga tu. Lakini kama humtaki mwambie kilichoko moyoni kwako ajuwe na ikiwezekana mupotezeani forever mana kama utaendelea kumfata bado hii setuation itaendelea kuwepo, usishangae siku1 atakubaka.

Laikini pia inawezekana huyo shoga yako alitumiwa na huyo kaka kwa njia yeyote ile kukupata wewe labda aliwaona, uweze kulijuwa hilo pia.
 
Dada angu hujawa balanced kwa mada yako, kwani pia kufika tu ukaleta uzi wako kunakitu pia kinavutia, but kikwazo ukaka. "trulove cannot start from nothing, starts from friendship".
 
Ameoa ila yupo single kwa sasa, ile heshima ndio najiuliza haoni?? Akiwa namdogo wake ananiheshimu mdogo wake akisogeza tuu mguu anaanza kuniambia maneno yaajabu namimi najikaysha kama simuelewi sasahivi anaongea maneno makali kabisa hadi najuta
Kwa kuwa ameoa kaa nae mbali kama ukoma.Ikiwiezekana mueleze rafiki yako kwa nini unamkwepa kaka yake
 
Ngoja ni kwambie dada angu, huyo mwanaume siku ya kwanza tu alipo kusaidia tayari ulikuwa kwenye hesabu zake, wanaume ni waoga na alikuwa anatafuta mazingira sasa naona amediriki kukwambia na hapo hawezi kuacha kupress. halafu wewe umekosea, wewe ndiye uliye yaendekeza kwa kuonyesha sitaki nataka bila kuwa na msimamo halisi halafu unakuja kulalamika huku, ungetaka yaishe bila ya yeye kuendelea na mbakie kuheshiana alipokutokea tu ulitakiwa utafute mda mzuri umueleze msimamo wako na namna unavyo muona kama kaka, najua yangeisha vizuri na mungeendelea kuwa marafiki.
ila hujachelewa bado unaweza mkalisha kikao mkaongea vizuri bila kumwaibisha yataisha.

Tatizo la vijana wa sasa hivi dadangu si wawindaji, muwindaji kama mimi nilivyofundishwa na wazee unatakiwa uende porini mbali usiko fahamika katafute wanyama huko! wanaume wa sasa ni mapaka shume kama linalogeuka na kuanza kula vifaranga vya nyumbani badala ya kwenda kuwinda panzi na ndege porini! wanaume wa sasa wanatamani vya kunyonga, wanatamani shemeji zao, dadazao, mahousegirl, binam etc. impact yake heshima huisha nyumbani wadada wanamdharau baba kwa sababu ameshawahi waomba, hata wewe unaweza dhihirisha jinsi ulivyo mshusha baada ya kukutokea. wanaume wenzangu tubadirike.
 
Wewe kama unaweza kumfeel kaka yako kazi kweli, Mimi sina hizo namuona kama kaka tuu

Acha kuuzba ukwel,ulvo ambiwa ni kwel, umexema kuw alkuw rafk yako xan had ukamuona kama kaka, hivyo haupo ubin wowote kat yako na yey so, alkuw anachukuw nafac ya kukupma kiakil,na ktabia acngewez ktoka nje kwan angeambulia mtu ace na nzur tabia,aidha malaya,acie jal watu! so amekaa naw kakujua kiundan zaid amejua kuw mtaish vzur iweje ulazmishe damu A iwe O its impossible! ulowa bwana! WEW VP?
 
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?

Hii statement hapa inaweza kuja kubadilika huko mbele. kuna umuhimu wa kuinukuu mapemaaaaaaa.
In ze fyucha wanakujaga na mirejesho ya tofauti sana hawa watu.
 
Back
Top Bottom