Nilimfuma Ticha na Padre!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Mamboz vipi wana JF!!!
Hivi majuzi wakati nipo kwenye graduation ya 4m4 kwenye ukumbi maarufu the Rocky City nilichoka kucheza muziki nikaamua kupumzika ndani ya kibanda kimoja wapo!
Wakati naingia nilish2ka kumkuta TICHA wangu wa English na PADRE wa kanisa takatifu wakinywa na kupigana makiss motomoto!
Nilibaki nimepigwa butwaa nikaitwa kujumuika na kupewa mshiko wa maana ninyamaze kimya!!!
Ingekuwa wewe unge2nza siri??!!
 
acha umbea, weka picha tuone kama ni kweli ilitokea....vnginevy itakuwa ni hisia zako tu hizo..au unataka kumzushia mwalim wako...
 
Mamboz vipi wana JF!!!
Hivi majuzi wakati nipo kwenye graduation ya 4m4 kwenye ukumbi maarufu the Rocky City nilichoka kucheza muziki nikaamua kupumzika ndani ya kibanda kimoja wapo!
Wakati naingia nilish2ka kumkuta TICHA wangu wa English na PADRE wa kanisa takatifu wakinywa na kupigana makiss motomoto!
Nilibaki nimepigwa butwaa nikaitwa kujumuika na kupewa mshiko wa maana ninyamaze kimya!!!
Ingekuwa wewe unge2nza siri??!!

WE M'MBEA, UNASTAHILI KUPIGWA MAWE!! Asa hela ya huyo nani sijui ulichukuwa ya nini na si ulikubali kuwa hutasema? LIONE
 
Sasa mbona umeshindwa kutunza siri za watu...!?
Itakusaidia nini ukiitoa adharani, si bora ungewanasihi.
Sasa unafikiria nani atakuamini!? Na ushahidi huna.
 
Kumbuka ukimstiri mwenzio na wewe utastirika hukuwa na haja ya kutoa siri hiyo!
 
Sasa mbona umeshindwa kutunza siri za watu...!?
Itakusaidia nini ukiitoa adharani, si bora ungewanasihi.
Sasa unafikiria nani atakuamini!? Na ushahidi huna.

Naogopa kumwaga ushahidi hadharani coz ya huyo Ticha wangu dats y naomba ushauri 2!!
 
Angekuwa mkeo/mumeo au mama/baba yako ungesemaje?.Wacha uchuro huo:embarrassed:
 
Wewe mpu***fu tu - Watu wako faragha na mambo yao - wewe unawachungulia!!! wtf

Ni utoto tu, akikua ataacha!
Hii kitu
avatar11691_10.gif
inapatikana Darfur kiongozi....
 
pole sana kaka
sinto kujibu vibaya ila ninachoo mba kusema ni
walimu na mapadre ni watu ambao tunawategemea sana katika jamii yetuu..
labda nikweli uliona hivyo mimi sijui ...
lakini cha kufanya usije waambia watu ambao wanamjua huyo mwalimu na haswa haswa watu ambao wanamjua huyo padree...
kwanza watu wengi hawatakuamini na watako kuamini utakuwa umewavunjia uhusiano wao na hao watu muhimu kwenye jamii yetu..

samahini kwa maneno mengi ...AD
 
Wewe mpu***fu tu - Watu wako faragha na mambo yao - wewe unawachungulia!!! wtf

Hujui hata kusoma au kosa si lako!!! Umeona sehemu gani iliyoandikwa kuchungulia???!!!!
Ndo problem ya miji2 kama hii, inaonekana unapenda sana hayo mambo,I have to find ur wife nimdu kwanza!!
 
pole sana kaka
sinto kujibu vibaya ila ninachoo mba kusema ni
walimu na mapadre ni watu ambao tunawategemea sana katika jamii yetuu..
labda nikweli uliona hivyo mimi sijui ...
lakini cha kufanya usije waambia watu ambao wanamjua huyo mwalimu na haswa haswa watu ambao wanamjua huyo padree...
kwanza watu wengi hawatakuamini na watako kuamini utakuwa umewavunjia uhusiano wao na hao watu muhimu kwenye jamii yetu..

samahini kwa maneno mengi ...AD

Thanks dada kwa ushauri mzuri MUNGU akujaalie kwa busara zako!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom