Nilimfadhili huyu mwanamke lakini aliyoyatenda ni ajabu

MkuU hakuna cha kama ni kweli au si kweli kwenye swala la kifo cha mtoto wangu yaani namuuaje mtoto wangu Mzee. Kwa kosa lipi kwann Mimi nisiamini yeye ndo pengne alimla nyama kichawi maana mkumbuke kuna thread humu IPO khs yeye kuwa na elements za ushirikina.
Why mi nisihisi ye ndo alimuua SA anajaribu kutengeneza mazingira ya kutoshitukiwa maana ILIKUWA ghafla Tu akaanza kuzusha na hapo mtoto alishafariki MDA Sana.
Mtoto alipata shida akiwa Naye nimerudi nakuta ana shida tukaenda hospital akalazwa Naye mpk anafariki anaye yeye hospital.
Daaah mwanangu aliniuma Sana ndo first time kulia msiba mi sikuwa na record hiyo kabisa. Halafu jitu Linasema nilimuua daaah.

Toka tumezka hajawahi kanyaga kaburini Kwa Yule mtoto. Na uwenda hata hakumbuki tulizika wapi.
Wewe ni fala!
 
Nenda kaseme kwa mod nimekuita fala.
 
Ila kwa maneno machache tu wewe ni mtu uliyepigwa muhuri wa moto usoni wenye chapa yenye andiko ZUNDE
 
Yani mwanaume yeyote akiwa kama wewe ni lazima yaani lazima aumie kwenye mapenzi.
Huko kupenda kupitiliza sijui mnalishwaga nini mpaka mnakua hivyo aisee. Yaani si ajabu familia yako hujawahi kuonesha unaijari kama unavomjali huyo aliyekua mpenzi wako.

Hakuna mwanamke ambaye ataacha kumtesa na kumnyanyasa mwanaume zoba hakuna kabisa.
 
watu wanaotokea kigoma tena wanawake wa huko.

pole sana
hebu nole siri ya hawa wanawake. Maana mi nilimpata mmoja na kumfadhili kwa kila hitaji lake lakini ni kama hawana shukurani. Nikaamua kumkaushia. baada ya muda akarudi ili nimsaidie kama mpeziwe wa zamani. Nilimsaidia ila sikuonyesha kumhitaji tena na sijamtafuta tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom