My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,293
Hongera Sana Shigongo ndugu yangu unaona mbali Kwa darubini Kali.
Unajua mwenyewe maisha uliyoishi, hadi Mungu akaamua kukuinua maana kila jambo na wakati wake, ulikuwa ni wakati wa machozi sasa ni wakati furaha.
Ulinusa harufu ukiwa masafa ya mbali sana, ukaona hapana, cha kufia nini?
Waingereza wana msemo "if you can't beat them,simply join them "
Na wewe ukaona isiwe tabu,moyoni mwako ukajisemea "because I can't beat them let me join them ".
Mara ya kwanza sikuwa nakuelewa kabisa,sasa hivi ndo Nimekuelewa vizuri mno.
Hawa jamaa wana roho mbaya Sana na Kwa hali ilivyo sasa hivi na wewe wangekuunganisha na kisha kukuharibia kabisa maisha yako.
Ungerudi Bupandwa kuvua samaki, hongera Sana Kwa machale.