Nilikuwa sijui kama napendwa na wanawake kiasi hiki

Status
Not open for further replies.
Wakati fulani unapaswa ujiulize maswali nikwanini husifiwa, je kilasifa ni mnasaba yaani inaendana namimi, au nivijembe sijielewi.!???
Badala yake unakuja sehemu Kama hii unatoa sifa ulizonazo walizokupa wasichana. Lakini wanaume sijuwi wao nivipofu hawaoni wakakusifu!!?
 
Mbona unaumiza kichwa mkuu. Relax sio kila swali ulipatie jibu.
Wakati fulani unapaswa ujiulize maswali nikwanini husifiwa, je kilasifa ni mnasaba yaani inaendana namimi, au nivijembe sijielewi.!???
Badala yake unakuja sehemu Kama hii unatoa sifa ulizonazo walizokupa wasichana. Lakini wanaume sijuwi wao nivipofu hawaoni wakakusifu!!?
 
View attachment 1643503View attachment 1643504
Screenshot_20201206-232234.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom