Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,060
- 23,940
Kudhaniwa tiss raha sana huku mnapopaita mkoani ninapoishi kuanzia kazini hadi mkuu wangu wa idara hunidhania hivyo kwakuwa Mimi muda mwingi nipo kimya sina stori nao zaidi ya kichat jf naongea zangu na simu.. Basis Mimi wakinidhania hivyo sikubali wala sikanushi nawaaacha njiapanda
Yes, kudhaniwa ni TISS ni maujiko, kunasaidia ili watu wasikudhanie wewe ni mtu wa mchezo mchezo, na usikute ndio maana hata siku ile niliruhusiwa kuingia ikulu.
P