Nipo nchi ya ndugu zangu kwa kipindi kinachokaribia miaka miwili, sijawahi kuchakachua hata siku moja kutokana na sheria zilivyokali. Kwenye basi huwezi kukaa na mtu wa jinsia tofauti, hosipitali huduma inatolewa kwa kufuata jinsia, shule mapaka vyuo vikuu vya serika hakuna mchanganyiko, huwezi kuwasiliana na msichana kwa njia ya simu au E-maili ukipatika mauti ni yako, huwezi kusimama au kusalimina na msichana. kila raia analinda wasichana, ukionekana unongea na msichana raia wanakukwida na ikifahamika ulikuwa unatongoza basi kifo chako.Marafiki zangu wamenieleza kila msichana unayemuona katika huu mji ni bikira. Kweli tembea uone. Tz nilikuwa nachakachua bila bughudha yoyote na sijawahi kukutana ta BIKIRA japo nimechakachua kwa kipindi cha zaidia ya miaka 10, nikitoka huku hii nchi sirudi ngo!!!!!