Nilikuwa siamini, sasa nimekubali "BIKIRI ZIPO"

Vumbi

Senior Member
Nov 7, 2010
191
27
Nipo nchi ya ndugu zangu kwa kipindi kinachokaribia miaka miwili, sijawahi kuchakachua hata siku moja kutokana na sheria zilivyokali. Kwenye basi huwezi kukaa na mtu wa jinsia tofauti, hosipitali huduma inatolewa kwa kufuata jinsia, shule mapaka vyuo vikuu vya serika hakuna mchanganyiko, huwezi kuwasiliana na msichana kwa njia ya simu au E-maili ukipatika mauti ni yako, huwezi kusimama au kusalimina na msichana. kila raia analinda wasichana, ukionekana unongea na msichana raia wanakukwida na ikifahamika ulikuwa unatongoza basi kifo chako.Marafiki zangu wamenieleza kila msichana unayemuona katika huu mji ni bikira. Kweli tembea uone. Tz nilikuwa nachakachua bila bughudha yoyote na sijawahi kukutana ta BIKIRA japo nimechakachua kwa kipindi cha zaidia ya miaka 10, nikitoka huku hii nchi sirudi ngo!!!!!
 
Na ndio maana kwenye nchi kama hizo tatizo la ukimwi wanalisikia kwenye bomba huku kwetu hata ukitaka mke wa mtu unagonga acha hao wasichana ambao hawajaolewa na hawana mwenyewe............
 
teh teh...mie nahisi...una ID nyengine wewe hapa Jamvini....sema suuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu nikutaje!:teeth:
 
Amini data siyo information.....................unatakiwa uchukue data then uziprocess...wewe unachukua information then unatudanganya sisi hapa,ungeduu wewe ndo utupe izo habari..
 
Vipi u lesbian na ushoga huko?
Nadhani utakuwa umeshika kasi maana mnaweza kuzuia hilo
wakasababisha madhara mengine zaidi....
 
Siku zote huwa sielewi kwa nini watu wanashikia bango sana haya mabikra.Hebu tujiulize tu bikra imechangia au inachangia nini katika mahusiano,hata ukiikuta ni just one act and everything is over forever.Mimi ninaangalia zaidi personality yangu na utu wa yule ninayetaka kuwa naye maana kama hivyo havipo naweza kuikuta hiyo kitu na baada ya miezi miwili tu naletewa STD ndani.
 
Siku zote huwa sielewi kwa nini watu wanashikia bango sana haya mabikra.Hebu tujiulize tu bikra imechangia au inachangia nini katika mahusiano,hata ukiikuta ni just one act and everything is over forever.Mimi ninaangalia zaidi personality yangu na utu wa yule ninayetaka kuwa naye maana kama hivyo havipo naweza kuikuta hiyo kitu na baada ya miezi miwili tu naletewa STD ndani.

Mimi kwa maoni yangu hili suala ni nyeti sana kwangu nadhani wengi wetu wanalichukulia juu juu ila enzi zile kabla ya kuporomoka maadili ilikuwa ni kawada msichana kuwa na bikra lakini siku hizi unakuta wazi tena kotekote.

Bikira inasaidia nini?

Mimba zisizotarajiwa, kujiingiza kwenye mapenzi kabla ya kuolewa kunapelekea kuweza kushika mimba zisizo tarajiwa na matokeo yake kuongezeka kwa watoto wa mitaani, kukatisha masomo wa watoto wa kike wanaosoma na kuchangia kutofikia malengo yao.

Kuongezeka umalaya ( baada ya msichana kupata mimba ya jifataki na kumkimbia ) akaacha shule matokeo yake hata kuwa na elimu na ili aweze kujikimu ni lazima afanye umalaya.

Umalaya hupelekea maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI.

UKIMWI unasambaa kwa wateja ambao wengi wao ni nguvu kazi ya nchi

Nchi inakosa nguvu kazi

More?
 
huyu siyo malaria komavu na hadithi zake za mabikira kweli?

KIMICHO, nazungumzia ukweli ulivyo kwa hawa ndugu zetu huku nchi za nani-hiiiiii, si unazijua tena. Pia mimi siyo malaria komavu!!!!
 
Vipi u lesbian na ushoga huko?
Nadhani utakuwa umeshika kasi maana mnaweza kuzuia hilo
wakasababisha madhara mengine zaidi....

Kwajinsi hawa jamaa wanavyosimamia suala la kujamiiyani si-rahisi kufanya ushoga au usagaji, kwani ukipatikani wanakuuwa.
 
Kama wana achia tigo sasa kuwa na bikira maana yake nini wana mdaganya nani? Maana lengo la ku maintain bikira ni kuwa mwaminifu sasa kama nyuma sio waaminifu itakuwa kukifunguliwa mbele?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom