Nilikuwa siamini kama mtu anaweza park gari kwa kukosa mafuta, yamenikuta!

- Pia kila aendapo kazini ahakikishe anapakia abiria 5 kwenye kituo anacho anzia
- Na kurudi hivyo hivyo
- Kawaida huwa nauli TZS. 2,000 kwa hizi gari binafsi
Kwa siku hakosi 10,000, kwa wiki hakosi 50,000 Hesabu ya mafuta ataiondoa kabisa baada ya kupata abiia wake permanent wa kwenda na kurudi. Kuna mdau hufanya hivi na hajawai kuishiwa fedha ya mafuta
hiden
Ila gari inachoka kinoma.
 
Hyo si ipo kwenye 100...me naongelea hizi za 200 sasa kuna UZJ,URJ na VDJ hapo sasa ndo zinakuja classes sasa za GX,GX-R,VX,VX-R,Sahara na mwisho kabisa baba lao ZX(hii ndo ina starehe na luxury kupita yotee)
Hahahah kwa 100 series kuna 2UZ-FE, 1FZ-FE, 1HD-FTE, 1HZ tu mzee baba!

Hizo URJ na UZJ ni trim codes za 100 series mkaliwade, VDJ pekee ndio trim code ya 200 series.
 
Hahahah kwa 100 series kuna 2UZ-FE, 1FZ-FE, 1HD-FTE, 1HZ tu mzee baba!

Hizo URJ na UZJ ni trim codes za 100 series mkaliwade, VDJ pekee ndio trim code ya 200 series.
Mhhh mzee mwenzangu hebu subiri kwanza mbona kama vile unanichanganya...200 sio VDJ tu pia kuna URJ na UZJ..
Au lah basi hebu weka hyo 200 ya VDJ Na mm nikuwekee 200 ya URJ na UZJ..
Pia kumbuka 200 zinafikia tamatii sasa anakuja baba Lao 300
 
Hahahah kwa 100 series kuna 2UZ-FE, 1FZ-FE, 1HD-FTE, 1HZ tu mzee baba!

Hizo URJ na UZJ ni trim codes za 100 series mkaliwade, VDJ pekee ndio trim code ya 200 series.
Halafu pia hapo 1HZ umechanganya maanake ipo pia kwenye 70 ambapo inatumika kwenye land cruiser mkonga na pia hiyo hiyo ipo pia kwenye Coaster.

Maana yake kusema kwamba land cruiser mkonga na coaster wanatumia 1HZ hyo hyo.
 
Ifanye ikuingizie hela walau ya mafuta. kuna jamaa akitoka kazini anapiga uber masaa machache anapata ya mafuta. ufanye mwenyewe lakini, ukimpa mtu mwingine utaumia
 
Ni kama kujitia mzungu kuweka vinywaji vingi kwenye friji.

Kuna kipindi mimi hadi saloon kwenda kunyoa (umbali chini ya kilometa 1.5) nilikua naenda na ndinga.

Tatizo wale wadada wa saloon mtu ukienda bila ndinga wanakuosha na maji ya baridi. Wanajua wewe fukara. Wakati watu tushakopa NMB tumedaka Toyota.

Ila ukizoea utakuta hata wese likiwa full tank mzuka wa kutoka hauna.
maji ya baridii
 
Mkuu ngoja nikupe akili itakayo kusaidia katika kumiliki gari, kama unafanya kazi au mishe mishe siku ukipata 50,000-150,000 weka mafuta ila ukiendesha gari kwa kuweka mafuta ya 10,000-20,000 huwa yanawahi kuisha sana. Mkuu kuna jamaa aliniambia ukiweza jaza full tank ule mshale wa mafuta huwa unachelewa sana kushuka chini
hio ni myth tu.kama gari lako lita moja linakwenda kilomita 10, hata ukiweka full tank itaunywa ivo ivo kilomita 10 kwa lita na hata ukiweka lita moja tu ndani ya gari haibadiliki. Sababu kuu ya kushauriwa usibakishe mafuta kidogo sana ni kuiepusha fuel pump kuvuta uchafu
 
Kabla sijanunua gari, nilisikia mtu kapark gari ndani kwa kukosa hela ya mafuta na kuamua kutumia usafiri wa umma.

Tena nilishangaa mchizi mmoja jirani kapark Vitz akidai hana pesa ya wesee.

Nilikuwa nashangaa kama unaweza nunua gari ya 12 million unakosaje wese hata la 10k?

Sasa baada ya kujichanga na vimkopo vya hapa na pale nikavuta IST.

Ni siku ya tatu leo natembelea daladala nimekosa pesa ya wesee.

Kweli kua uyaone!!
Unanunua vitz ya kutembelea ungenunua gari ya kazi iwe inakuingizia vi elfu tano tano,,toyota carry,,toyota pickup etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom