Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,076
Habari zenu watz wenzangu natumaihamjambo na mnaliendeleza libeneke kama kawa huko mliko,binafsi nilikuwa naumwa ila kwa sasa niko bomba.Nalog off
nashukuru na nimeshakaribia.Nalog offpole mkuu... karibu tena!!
nashukuru na nimeshakaribia.Nalog off
Habari zenu watz wenzangu natumaihamjambo na mnaliendeleza libeneke kama kawa huko mliko,binafsi nilikuwa naumwa ila kwa sasa niko bomba.Nalog off
hahahah,baadhi tu,vingine niliogopa mkuu.Nalog offulipimwa vipimo vyote???
nashukuru nimeshapoa mkuu.Nalog offPole mkuu!
Welcome back
nashukuru sana mkuu,ila huyo wa A Town siye mie.Nalog offNimetoka kuupitia uzi wa "memba waliopotea jf" Wewe ulikuwa mmoja wapo halafu charminglady akadai huwa naboreka na "log off" zako lakini sasa eti amezimiss...Mara hamad nakutana na wewe..dahh karibu sana mkuu Washawasha...
Kuna jamaa mmoja maeneo ya makao mapya levolosi Arusha na shoe shine yake anajiita Washa washa...sijui ndo wewe?
Kuna ID haitaonekana humu baada ya ujio wa hii ID ya kulog off
Nimetoka kuupitia uzi wa "memba waliopotea jf" Wewe ulikuwa mmoja wapo halafu charminglady akadai huwa naboreka na "log off" zako lakini sasa eti amezimiss...Mara hamad nakutana na wewe..dahh karibu sana mkuu Washawasha...
Kuna jamaa mmoja maeneo ya makao mapya levolosi Arusha na shoe shine yake anajiita Washa washa...sijui ndo wewe?