Nilikuwa natumia dawa kabla ya kusex, Sasa nimeamua kuacha lakini hali imekuwa mbaya

Kilawo

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
1,486
2,454
Wakuu mi ni kijana nimeathilika na vidogo vya kuongeza nguvu ya kiume kwa mda uleule ufanyao tendo ilo nina miaka karibu 3 tka niaze kutumia mwaka huu nimeona ni bora niache sasa tatizo lipo nikipiga kishindo kimoja ndiyo basi tena iyo mpaka asubuhi au saa nane za usiku nifanyeje wakuu niweze pona ili tatizo
 
Wengi unao waomba ushauri ama kuwapa taarifa juu ya tatizo lako 80% ni Wahanga.

Kifupi ni wagonjwa kama wewe.!!

Kula vyakula vya Asili (Ugali wa Muhogo, Dona, Magimbi, Maboga, Mtama, Uji wa Ulezi kwa wingi, bila kusahau Mbogamboga +Matunda..

Usisahau pia kufanya mazoezi ya Viungo, angalau mara mbili au tatu kwa wiki..

Tatizo hilo litakwisha kabisa.
 
aseeh
 
Sawa mkuu
 
Kwa mwandiko huu kweli umeathiriwa na hivyo vidogo....Pole sana mkuu...kwanza Jitibu kisaikolojia, iaminishe akili yako kwamba hilo ni tatzo dogo na wewe ni mwanaume wa shoka na huwezi kuwa dhaifu..pili ushauri wa mkuu Visa hapo utasaidia sana
 
Mhh sasa kwa nini ulianza kunywa vidonge ukiwa bado kijana mdg hivi
 
Fanya mazoezi at least push up 30 kwa siku afu kunywa maji ya moto am telling you after two weeks utakuja unashangilia hapa
 
Wanasemaga ujana maji ya moto! Naona ndo unaungua sasa...pole sana boss.
 
Asilimia kubwa ya tatizo lako ni saikoloji, hujiamini.

Fanya mazoezi kwa sasa, kula tengeneza chai ya tangawizi na asali, maziwa fresh, kitunguu swaumu changanya na tangawizi, chachandu na pweza.

Manya mazoezi ya kukimbia na kurukaruka, push up.

Usipende kula vyakula vilivyokonolewa, sukari, pombe na nyama choma, na kuangalia pivha za ngono.

Fanya hivi bila kukutana na mwanamke kwa miezi mitatu. Kikubwa ujiamini unaweza na utapona

Utakuja kunipa mrejesho mwenyewe
 
Ulikuwa Unatumia Dawa Gani Ili Wajuzi Waone Namna Nzuri Sana Ya Kukupa Ushauri Mzuri
Uepukane Na Hiyo Kadhia.
 
Ungeeleza kabla ya kuanza kutumia ulikuwa na hali gani? Yaani performance yako ilikuwaje? Je ni nini kilisababisha kuanza kutumia hayo madawa? Na je wakati unatumia haya madawa performance yako ilikuwaje? Na nini kimesababbisha uamue kuacha kutumia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom