Nilikuwa nasikiaga wanawake wembamba wakorofi nikawa nabishia

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,764
Yamenipata buana, nilikuwa nasikiaga wanawake wembamba wakorofi nikawa nabishia aseee.

Daaah hawa viumbe wanajeuri na mdomo mchafu kinoma ili hali vinakuchochea kukazaba makofi. Nimekaa nimefikiria nikiendelea kudate hawa viumbe wa namna hii jela itakuwa iko wazi kuningojea.

Mpaka sasa nimejifunza kitu, Moja ya kitu niliyofanya ya kudate demu mwembamba lilikuwa kosa kubwa sana. Havina tako, kakiwapo basi kanakuwepo basi kakijitako saizi ya ugali wa hotelini.

Sirudii tena kudate vimbau mbau, naweza kwenda jela bure.

Ngoja nitulie nitafute vibonge wangu niliowazoea. Kama we ni demu kibonge na uko fresh(Una mzigo) ni PM alfu tuyajenge.

Nawatakieni Alhamis njema
 
Hata mie naona, wacha nisubirie zamu yangu ya kupata mtoto chibonge kiasi.. Hawa viumbe, kama una hasira za haraka, hutachelewa kwenda kutumikia kifungo cha maisha
Hahahaaa!!

Dunia imejibalance Mkuu. Ushindwe wewe tuu kukaa kwenye mzani
 
Yamenipata buana, nilikuwa nasikiaga wanawake wembamba wakorofi nikawa nabishia aseee.

Daaah hawa viumbe wanajeuri na mdomo mchafu kinoma ili hali vinakuchochea kukazaba makofi. Nimekaa nimefikiria nikiendelea kudate hawa viumbe wa namna hii jela itakuwa iko wazi kuningojea.

Mpaka sasa nimejifunza kitu, Moja ya kitu niliyofanya ya kudate demu mwembamba lilikuwa kosa kubwa sana. Havina tako, kakiwapo basi kanakuwepo basi kakijitako saizi ya ugali wa hotelini.

Sirudii tena kudate vimbau mbau, naweza kwenda jela bure.

Ngoja nitulie nitafute vibonge wangu niliowazoea. Kama we ni demu kibonge na uko fresh(Una mzigo) ni PM alfu tuyajenge.

Nawatakieni Alhamis njema

Swala la mtu kuwa mkorofi halitokani na umbo, kimo, au sura. Ukorofi kama zilivyo tabia nyingine ni tabia ambayo mtu anaweza kuzaliwa nayo (kurithi kutoka kwa wazazi au ndugu wa ukoo wanaomzunguka) lakini pia tabia hiyo mtu anaweza kuwa nayo kutokana na malezi aliyolelewa/aliyokulia.

Kutokana na maelezo haya niliyoyatoa; kwa mtizamo wangu si sahihi kusema kuwa wanawake wembamba ni wakorofi.
 
Ahsanteee kwa kushiriki boss

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom