Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

Futa hiyo kichwani.

Amini tu kwamba umepoteza.

Huyo chuma ulete kwa nini anavizia elfu Kumi wakati minoti imelda Bank...

Mawazo ya kimasikini tu yafute.
Upo sahihi mkuu, ipo siku utaamini.!
Benk zimezindikwa mzee usizione vile.
 
Futa hiyo kichwani.

Amini tu kwamba umepoteza.

Huyo chuma ulete kwa nini anavizia elfu Kumi wakati minoti imelda Bank...

Mawazo ya kimasikini tu yafute.

Yaan mm kukaaga na watu wenye mawazo ya hvi sipend kbsaaa....ni umaskini tu...

Kuna dada mmoja february hii nilikua namdai hela fulan..akaniambia anahis anafanyiwa chuma ulete...nikaamua kumskiliza sana..yeye ana biashara ya genge ..bas akapita mbabu akampitishia mboga akachukua akamweleza shida yake baba akasema atamwendea kwa mganga....kesho babu kaja akasema inahitajika sijui kuku na 17000!

Huyu dada hajaolewa anaishi kwao bado ingawa ana watoto wakubwa tu btn 17_20yrs!yaan kwao kuna umaskini balaa uliotukuka...nikamwambia nipe wiki nitakuambia nan anakuchukulia hela yako...

Nikafanya umafia wa juu juu sana(na yy nikampq ujanja.usirudi na helq kwako then ziheaabu kuhakik)...nikaja gundua mwanaye ndo anamuibia...hahaa mpaka leo anasemaga alijua chuma ulete ... dogo akiiba anaenda cheza haya mabetting!..wanaibiwa tu hawa hawajui
 
Mie nakuhakikishia ulikua either unaibiwa na huyo kijana au ulikua unaibiwa na wateja au wasaidizi wanaomenya viazi!
Nakumbuka enzi tunasoma kulikua na group fulan la wanafunzi wanakula bure ...yaana anaenda sehem yenye wateja weng akila anasepa...hao watu hawaishi dunian!ila nyie hamjaishi bado dunian...kikulacho!
 
Sababu nyote nyinyi hamna ibada sijamsikia muhindi mwenye duka akilalamika au mwarabu ni wafrika tu ndio wanaibiwa
Mkuu Wahindi wako kamili kwenye hayo mambo.
Kisa cha Kweli: Kuna mfanyabiashara alienda kwa Muhindi kununua bidhaa kwa jumla,huyu mfanyabiashara alikuwa na misukule ambayo ilikuwa inachukua bidhaa na kupakia kwenye Lori la yule boss wao/mfanyabiashara. Kwa macho ya kawaida walikuwa hawaonekani, ilipofika muda wa malipo kwa Mhindi mfanyabiashara mwenye misukule alitoa pesa kwa mujibu wa mzigo alionunua yeye, Mhindi akagoma akamuambia jamaa aongeze pesa kwani mzigo aliouchukua haulingani na pesa alitoa. Hapa Muhindi alimaanisha kwamba alikuwa anawaona wale misukule, pilika pilika za hapa na pale Muhindi akaitaifisha ile misukule maana jamaa alishindwa kulipa na hadi leo yule mfanyabiashara hana kitu tena.

Haya mambo yapo.
 
Mwaka 2019 kuna jamaa wana kikampuni chao niliwafanyia kazi ikawa nawadai laki sita na nusu tukakubaliana jumatatu watanilipa maana ilikuwa weekend,,kweli juma tatu majira ya saa kumi akanipigia simu meneja kuwa hela wamemuachia dada mmoja alikuwa mfanyakazi wao wa pale,,kwa kuwa yule manzi nishawahi kumgonga nikaona nikiziacha akae zimzoee hata kwa lisaa anaweza zitaifisha nikampigia nikamwelekeza aniletee mahali maana kuna mtu nataka mlipa nae ananidai.

Nilikuwa baa muda huo napata bia kidogo akaja kweli akanikabidhi mzigo wangu wote,,mfukoni nilikuwa na cash kamaaki tatu,,jumla ikawa laki tisa na nusu,,nikaona kukaa na kiasi kikubwa hivi cha pesa baa ni hatari,,home hapakuwa mbali nikatoa 50 nikaweka kwenye walet laki tisa nikaipeleka home na nilikuwa naishi mwenyewe hela nikaiweka mahali ambapo ndo nawekaga hela zangu mara zote,,then nikarudi kuendelea na mambo mengine,,saa sita narudi home nacheki droo haina hata mia *****

Niliitafuta hadi chooni wapi,,hangaika holaa sikulala kwa kweli,,asubuhi nikatafuta eeeh hakuna,,nikaomba ushauri kwa jamaa yangu akanielekeza kwa mtaalamu mmoja nikaenda nikamuelezea yale mazingira jamaa akacheki akanambia alokufanyia hili tukio ni mtu wa karibu na anaekujua sana ila kusema hela zirudi hivi hivi ni ngumu zaidi nitatengeneza dawa nimtupie mikosi itamuandama hadi akijapata jibu ni ww ndo chanzo akija kukuomba msamaha utampa gharama zako akikulipa yataisha,,sema hakutaka nambia ni nani kabisa akasema hizo ramli chonganishi hafanyi basi bwana akafanya mambo yake nikasepa zangu

Yule demu nilimpigia kumuelezea ile hali akawa anasikitika tu hakunijibu la maana,,,baada ya muda bwana ile kampuni wakapata hasara kubwa ikasadikika yule binti kapora milioni tano,,na shida sasa walikuwa ndugu ndugu wakasumbuana ww badae yule meneja akamtimu yule binti akaendelea hivo hivo badae kampuni ikafa,,,baada ya muda nasikia aliuza eneo lake na akakopa bank akaanza tena kwa nguvu kubwa mwaka jana kwenye agost kijana anapeleka hela bank milioni 12 akatekwa zikaporwa zote hadi ninavoandika hapa yule meneja anahangaika na kulima lima,,gari alikuwa nayo imekufa kapaki,,yule demu nae nasikia ka anapoajiriwa ni wiki mbili anatimuliwa


Mwisho sijajua hadi leo kama ndo wao walinipa hela zenye miguu zikarudi kwao au la maana hadi leo hawajaja kuniomba radhi,,na yule mtaalamu hakuniweka wazi kabisa ila kwa watu wangu wa karibu ambao mikosi imewaandama ni hao jamaa na huyo sister,,nasubiri siku waje kuomba radhi
 
Mie nakuhakikishia ulikua either unaibiwa na huyo kijana au ulikua unaibiwa na wateja au wasaidizi wanaomenya viazi!
Nakumbuka enzi tunasoma kulikua na group fulan la wanafunzi wanakula bure ...yaana anaenda sehem yenye wateja weng akila anasepa...hao watu hawaishi dunian!ila nyie hamjaishi bado dunian...kikulacho!
Ni mdogo wangu kabisa na tabia za kuiba hana na ningejua km angefanya, wale wasaidizi nahisi walikua wanafanya yao akizubaa wateja wakiwa wengi labda.
 
Ni mdogo wangu kabisa na tabia za kuiba hana na ningejua km angefanya, wale wasaidizi nahisi walikua wanafanya yao akizubaa wateja wakiwa wengi labda.
Yaan ni vile wabongo hatupend kuchunguzaga mambo...siku ungekuja jua ungebak unashika tama....kuna watu wanakupiga in a sec tu ushaibiwa...chunguza .afu usiusemee moyo mkuu...narudia usiusemee moyo ..heheheee...mie niliwah muibia hubby hela nikainyaka yote na sio tabia yangu lakini niliiba niliona nimechoka...mpk leo anaamini ameangushaga ofisini ...imagine ss iweje huyo umuamini km Mungu! Usimuamini mtu wewe ...amkaaa
 
Sababu nyote nyinyi hamna ibada sijamsikia muhindi mwenye duka akilalamika au mwarabu ni wafrika tu ndio wanaibiwa
kuna watu wanaozindika biashara zao kibabe kama muhindi na mwarabu.??yaaan wewe unavunja nazi usiku usionekani ila muhindi anavunja nazi kweupeeee na kufanya matambiko yake...wanajikinga sana wale na haya mambo
 
Siku moja mtu aliwahi kuniomba chenji Niko na kama 35,000/= mfukon nikatoa chanji nikasepa badae nimefika home nabadilisha trouser naisachi mfukon ili nitoe hela yan nikajikuta sina hata buku mfukon Nlitaka kuamin mambo ya chuma ulete ila moyo ukakataa nikaamin itakua nimedondosha tu huwa Nina tabia ya kuichanganya simu na hela mfukon ila sijawahi kudondoaha hela hata siku moja siku hiyo nafikiri nilifanya uzembe wakat natoa simu mfukoni.
 
Back
Top Bottom