Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

Kwamba ulipoteza hela kwa chuma ulete? Au kama ulivyosema wanahisi/mnahisi chuma ulete?
Kuna siku nimeenda crdb asubuhi wa kwanza kuhudumiwa. Dada naona alikuwa na usingizi bado. Nimemuwekea slip halafu nikawa natoa bundles anahesabu. Mwisho alaacha bundle moja ya 1m akaingiza transaction kama slip inavyosema akanirudishia slip ile bundle ya mwisho bado kaicha mbele yangu.
Nikachukua slip then nafikiri nilimwambia hii nimekupa zawadi huku namsogezea ile bundle alioacha. Akaangalia nilizompa na transaction akagundua ile aliiacha. Alinishukuru sana.
Sasa ningeondoka na zile hela probably na yeye angesema chuma ulete maana hatajua kama alizoacha nikaondoka nazo.
Chuma ulete haifanyi kazi kwenye pesa iliyopelekwa bank
 
Back
Top Bottom