Nilikuwa najisajili Ajira Portal nimekuta hii kitu. Nini maana yake?

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Wakuu nilikuwa najisajili Ajira Portal nimekuta hii kitu nini maana yake? Au nani ameweza jisajili hivi karibuni? Alifanyaje? Mimi nimeshindwa.

Screenshot_20191115-210946.jpeg
 
Kwani mkuu kujisajiri huku kuna ajira zozote zilizotoka au vipi?
Na kama zimetoka mboba hatutonyani. Maana ukali wa life in street ni wa kila mtu
 
Angalia kwenye screen shoot yako chini ya saa kuna vimstari vya ulalo bonyeza hapo ni menu itakuletea
 
Anaehitaji kuelekezwa kuweka utambulisho wa nida kwenye ajira portal Tsh 1000....fursa hii.🧐🧐🧐
 
Back
Top Bottom