Nilikuwa nachomekea tu

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,306
Muda si mrefu, mheshimiwa anaenda kukabidhiwa chama. Hili tukio nalisubiria kwa hamu sana, maana nina imani chama kitaanza safari mpya ya kufikia malengo yake tuliyojiwekea. Tukumbuke kuna msemo unasema kidole kimoja hakivunji chawa, ila baada ya kuwa viwili, chawa watavunjwa vunjwa. Kama mh. alivyoanza kuwa na imani na vijana kwenye uongozi wa kitaifa, basi na huku kwenye chama, aendelee na msimamo huo. Mheshimiwa tupe nafasi vijana kwenye chama utakapokuwa mwenyekiti tuzidi kukufanyia kazi bora za kutukuka. Nilikuwa nachomekea tu.


Kijana mpenda maendeleo
Kutoka SAME
 
Back
Top Bottom