Nilikuwa mmoja wa wale watoto machokoraa Mwanza mwaka 2010/2011

Mkuu- bado nukta hazikutani-
hukusoma formone siyo- ikawaje uingir form two
Ndio imekuwa hivyo sasa, hukubali? Kuna nyuzi amezitag, chukua muda wako kuzisoma utapata majibu.
 
Natangaza mbele ya JF though hii sio thread naandika hii kama comment mtoto mdogo sana nitakuchukua uishi na mimi,Mungu akawe mtetezi wangu na MEMBER wote mliomfatilia ndugu yetu huyu tangu mwanzo hadi sasa mkawe mashahidi na watetezi wangu incase lolote au chochote kikitokea.

mtoto mdogo sana naomba nisikushtukize nakupa siku ya leo na kesho kusanya kila ulichonacho ambacho ni mali yako,kusanya vyeti,nguo,na kila unachojua ni mali yako huko magetoni ulipokua unaishi na masela zako.

Nakupa siku ya kesho waage wote uliokua nao,Jumatatu nakuhitaji uje nitakapokuelekeza uje, Jamani wandugu mtoto mdogo sana nimemtoa humu JF atakuwa ndugu yangu,atakua mdogo wangu Atanizika Nitamzika,here i am.

Sikuchukui kwasababu unateseka nakuchukua kwasababu nimepitia uliyopitia i can fell yor pains,sikuaminiwa nilipowaambia nimebadilika,hamna alie amini neno lililotoka mdomoni mwangu MUNGU TU NDIE ALIENIAMINI.

niliteseka nilisota nilitengwa mtoto mdogo sana najua huaminiki,najua unaogopwa najua kila mtu ana mashaka juu yako,kila mtu hakuamini,kila mtu anawasi wasi na wewe lakini leo mimi CONTROLA nakupa nafasi nyingine ya kua kijana mzuri nahitaji unidhihirishie hili ktk matendo yako kipindi chote tutakachokua pamoja.

Mr.karibu PM nakutumia direct my personal phone number,ni beep nitakupigia uwe na amani ufurahi sasa tumia siku ya leo na kesho maliza kila kiporo utakachokua nacho kuanzia JUMATATU utakua pembeni yangu kila ninapoenda,kila nitakapokua.

Nimemaliza mtoto mdogo sana nimeandika haya kweupee ili watu wayaone kwa makusudi kabisa,nakutumia namba yangu PM.
Haya yawe ya kweli na ya kheri! Nashauri pande zote mbili zipate ushahidi wa serikali za mtaa au / na polisi ikibidi pia mahakama.
 
Mwenyeenzi Mungu akazidishe baraka katika maisha yako,akazidishe mapato ya shughuli zako zaidi mkaishi kwa furaha na upendo.
 
The world is full of good people, if you can’t find one, be the one. Naomba nikupe pole kwa changamoto zote za maisha ulizopitia ila ningependa tumshukuru Mungu kwa kuweza kukuvusha salama hadi leo umefika hapo ulipo. Pia Mungu awazidishie wote mliojitolea kumsaidia kijana wetu ili aweze kufanikiwa zaidi.
 
Asante sana mkuu. Mimi pia huwa naamini Mungu ana makusudi na mimi.
 
Back
Top Bottom