Nilikuja kuelewa swali aliloniuliza baada ya kujua mtoto aliyezaa sio wangu!

Una mtu anayekupenda tayari yuko single halafu akaenda kugegedwa na mume wa mtu bila kinga! Makusudi kabisa hii halafu akakaa kimyaaaa kama jamaa asingemtafuta angeingia mitini kimoja kwa kujua dhambi alizotenda.
Makusudi ipo kwenye kugegedwa, kwamba mimba ni ya nani haikuwa makusudi
 
Huyo malaya mbwa kweli, yaani katoka Kumbwato na wewe kaenda kuipeleka nyapu yake kwa hawara yake mwingine tena mume wa mtu baada ya kuona kakataliwa kule kakujaza wewe ili uhudumie ujauzito weee kisha aje kukutosa kuwa mwana si wa kwako. Pole sana aiseee, mpotezeee
 
Habari wadau wa Forum hii,nami naomba kushare machungu niliyowahi kupitia katika mahusiano baada ya kupata ujasiri kwa shuhuda za watu humu JF!
Waswahili wanasema ukijua matatizo ya mwenzako unaweza ukajiona huna matatizo kabisa!
-----------------------------------

Nilikuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa kipindi cha miaka kama 3!Tulipendana sana,angalau hivyo ndivyo nilivyoamini huko nyuma!Ilifika kipindi nikawa hadi na mawasiliano ya kujuliana hali na mama wa binti huyo!

Nilikuwa nimepanga na yeye alikuwa anaishi kwao akisubiri ajira zitoke!Yeye alikuwa akiishi kigoma nami nikiishi Dar!Basi kuna wakati alikuja Dar ambapo alifikia kwa ndugu zake,kwa bahati mbaya katika kipindi hicho nami nilikuwa natarajia kusafiri kikazi!Hivyo sikupata nafasi ya kuwa naye sana,siku ambayo nilikuwa nisafiri nikamuita ili tuagane vizuri!Nilikuwa natarajia kuanza safari saa 2 usiku!
Alikuja majira ya mchana,siku hiyo aliniambia ni siku ya hatari kwake kupata ujauzito hivyo niwe makini nisimwage ndani!Kweli tulipiga mechi ya uhakika maana nilijua itachukua muda mrefu kabla sijaonana naye tena!Nakumbuka katika round moja nilipitiwa na kweli mzigo nikamalizia ndani yake!Hakuonesha kushtuka,pengine sababu ya uchivu,nami sikutaka kusema chochote!Jioni tukaagana na nikampeleka mpaka jirani na alipokuwa akiishi,aliishi Tegeta nami nilikuwa nimepanga sinza!
Niliagana naye kwa makubaliano ya kuwasiliana mara nitakapofika nilikokuwa naenda!
Tuliendelea na mawasiliano mpaka siku moja aliponipigia na kuniuliza swali ambalo sikulitilia maanani sana lakini lilikuwa na maana kubwa sana,nilikuja kujua hilo baadaye!

Niligundua hali ya wasiwasi kwenye sauti yake wakati aliponisalimu na haraka nikamuuliza kuna tatizo gani?

Akajibu kwa kuniuliza swali,nanukuu, ".........,hivi siku ile nilipokuambia usimwage ndani ulimwaga ndani?"

Nami kwa haraka bila hata kutafakari nikamjibu ndiyo!
Akasema nimepima,nina ujauzito wako wa mwezi mmoja sasa!
Kiukweli baada ya kusikia hivyo nilishtuka lakini baada ya muda nikawaza nampenda na ni vema kama nikizaa naye,mengine tutapanga taratibu!Nilimtuliza na kumwambia asijali kwani sitomwacha!!!!

Kuanzia hapo nikabeba jukumu la kila mahitaji yake maana baba yake alikchukizwa na kitendo cha mwanaye kupata ujauzito akiwa nyumbani!

Nilimhudumia kwa kila kitu hata pale alipoanza clinic,katika kipindi hiki yeye hakusita kuwaambia kwao kuwa mimi ndio nimempa ujauzito na kuwa tumekubaliana kuwa nitafanya mpango wa kwenda kujitambulisha mara baada ya mtoto kuzaliwa!

Mambo yalienda sawa kwa kipindi chote hicho mpaka siku alipopata uchungu na kupelekwa hospitali kujifungua!

Ni ajabu mara baada ya kujifungua,sikuweza kumpata kwa simu yeye wala mama yake!Wote walikuwa hawapokei simu yangu!Wakati huo nilikuwa na wasiwasi na hali ya mpenzi wangu,nilijiuliza kama amejifungua salama au lah!Nikawaza kama kila kitu kiko sawa,kwanini simu hazipokelewi?

Baada ya kupita siku 3 bila kusikia chochote kutoka kwao,ilibidi nimpigie rafiki wa kike wa mpenzi wangu,akanituliza kwa kuniambia kuwa alijifungua salama!Moyo ukatulia!Akasema alienda kumuona na kwamba ana picha ya mtoto alipiga akiwa amembeba!Niliposikia hivyo nilipata shauku ya kumuona mwanangu,nikamuomba anitumie picha hiyo,pia nikamwambia akienda kumuona tena basi anaijulishe niongee na mama mtoto wangu!
Kwakweli nilipata mshtuko mara baada ya kupata picha ya mtoto!Kiukweli mtoto alikuwa tofauti sana,hakuwa na chochote nilichokiona kakichukua kwangu!Nikawaza labda ni mapema sana maana mtoto ndio kwanza mchanga!
Nilikaa mwezi mzima sina mawasiliano na mpenzi wangu,simu yangu aliiweka kwenye rejected list maana sikuweza kumpata kabisaaaa!

Nilipoona hii sasa too much,nikaamua kumtumia ujumbe kuwa nafunga safari kwenda nyumbani kwao maana nilitaka kumuona mwanangu!Mara baada ya kupata ujumbe ule naona akapata wasiwasi,nikashangaa akanipigia hapo hapo!!!

Akaniambia nisiongee chochote bali nimsikilize,nikasema sawa!Hapo ndipo aliangusha bomu lililonifanya nirufi nyuma miezi kadhaa nyuma!

Alinieleza kuwa mtoto si wangu na kwamba amefahamu hilo mara baada ya kujifungua!!!!Nilihisi dunia inataka kusimama,nikifikiria kiwango cha usaliti nilichofanyiwa!

Nikarudi nyuma katika mawazo yangu na haraka nikakumbuka alivyoniuliza lile swali,"hivi siku ile nilipokwambia usimwage ndani ulimwaga ndani?"

Hapo hapo nikapata majibu,kumbe katika kipindi kile nilipokuwa naagana naye ndicho kipindi alichoenda kutembea na mwanaume mwingine!Aliponasa ujauzito hakuwa anajua ni nani hasa kamjaza hivyo aliuliza kupata uhakika!

Pia niliwaza kumbe alikuwa anahatarisha usalama wangu na wake kwa kufanya ngono zembe maana alitembeza uchi wake kavu kavu!!!

Mwisho nikawaza,gharama zote nilizokuwa namhudumia nikijua ana mzigo wangu tumboni kumbe sivyo!!!

Kwakweli nimekuwa mgumu kumuamini mwanamke tena,nishagongwa na nyoka hata nikiguswa na jani nashtuka!!!!

Nilimtakia kila la kheri kwenye maisha yake,akaniomba nimsamehe kwamba aliyezaa naye ana familia tayari na kwamba hajui uwepo wa huyo mtoto,akaniomba nimkubali awe mwanangu na tuendelee na ndoto za maisha yetu!!!Nilikataa kata kata na ndipo akasema basi nikubali tu akiwa sawa atanirudishia pesa zote nilizompa akiwa mjamzito!Nikamwambia sawa,ila mpaka sasa hajatuma hata mia,sijui ndio kwasababu uncle Magu kabana sana hela au vipi!!!

Hiyo ndiyo story yangu fupi,ila swali hili sitalisahau kamwe,"Hivi siku ile nilipokuambia usimwage ndani ulimwaga ndani"?!!!!!!!!
POLE ila uwe una tumia kondomu kwa vichecheto hivi.

ILA USIHOFU, TAFITI ZINASEMA 48% YA WANA NDOA WANA LEA WATOTO WASIO WAO.

Hivyo mko WENGI
 
Weekend hii. Nilikuwa mwanza nimepiga show mtoto mmoja mkali. Alinimbia "usimwage ndani please. " mzee baba; cha kwanza nje,
Cha pili nje,
tukaenda half time. Nilipo rudi Nikaunganisha double double. yote ndani wala hakukumbuka tena ya kumwaga nje. Nasubiri matokeo tu
 
Huyo demu ana haki ya kufa single mother.....hawa ndio wanawaharibia wenzao......
Yani mwanamke akiwa anawapenzi wawili kwa mkupuo hafai kabisaaaa......kuolewa wala kuonewa huruma
Ila wewe ukiwa na wapenzi wawili kidume...tumbafu
 
  • Thanks
Reactions: T11
Khantwe eeeeeeee bidada ana mtu wake anaenda kugawa utamu tena tarehe mbaya bila kinga ni akili kweli hiyo? Alijua fika kwamba anaweza kuachwa na mimba na jamaa kishasepa na kuvunja uhusiano ambao labda ungezaa ndoa. Bidada kaongeza utitiri wa single maza.
Mbona kawaida tu BAK hata wewe demu wako kama haupo nae hapo sasa hivi kuna njemba imemkunja
 
Swala si kukunjwa Khantwe bali kutumia akili kabla ya vikojoleo havijagusanishwa. Angetumia akili kiduchu tu jamaa asingemjaza mimba au ingekuwa ni mimba ya mleta mada. Sasa anajuta kabaki single maza na aliyempenda hadi kutamani kumuoa kaingia mitini. Na ME wakisikia ni single maza wanapiga halafu wanatambaa majuto mjukuu.

Mbona kawaida tu BAK hata wewe demu wako kama haupo nae hapo sasa hivi kuna njemba imemkunja
 
Swala si kukunjwa Khantwe bali kutumia akili kabla ya vikojoleo havijagusanishwa. Angetumia akili kiduchu tu jamaa asingemjaza mimba au ingekuwa ni mimba ya mleta mada. Sasa anajuta kabaki single maza na aliyempenda hadi kutamani kumuoa kaingia mitini. Na ME wakisikia ni single maza wanapiga halafu wanatambaa majuto mjukuu.
Poa tu kwani single mother ni ugonjwa? Kwani mademu wangapi sio single mother lakini wananywea kikombe kilekile cha kupigwa na kuachwa?
 
Wapiga penati niwewe nahuyo mme mwenzako namdakaji alikuwa huyo demu, mashuti yako yote ulikosa ila jamaa mashuti yake yaliingia wavuni pole Sana mkuu
 
Back
Top Bottom