Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,474
- 10,418
HahahaaAu sioo..........Unaniona mwepesi sana et....mi mwanaume bhana......hizi mavitu za kawaida sana kwa mwanaume ila kwangu ndo first time na napambana nazo kibingwa tu na maisha yanaendelea
HahahaaAu sioo..........Unaniona mwepesi sana et....mi mwanaume bhana......hizi mavitu za kawaida sana kwa mwanaume ila kwangu ndo first time na napambana nazo kibingwa tu na maisha yanaendelea
Inawezekana pia ilikuwa ni fursa kwako kama ungetuliza akili.
Huenda alikuwa anataka kuona reaction yako na userious wako ili afanye maamuzi juu yako
Baada ya muda utashangaa mbona fukuto lenu limekuwa mwangaza kwakoAsante Mwamba.....ni moja ya darasa
Na hyo picha yako hapo ndo kama unanicheka mim vile......hahahaa......huwezi kuelewa haya maswala mkuu
Msalimie huyo shetani aliyekuzaa! (unayemwita mama)
Akuuu! Shetani ni huyo huyo mleta mada.Mwenza na wewe ni shetani?
Kila siku huwa nawaambia hamnielewi
"Mpende kiasi,mtunze, mheshimu na umpe show za maana na mpe pesa kiasi cha uwezo wako ila tu USIMUAMINI"
Hii itakupunguzia maumivu na utakuwa na maamuzi sahihi ukigundua ushenzi wake.
Akuuu! Shetani ni huyo huyo mleta mada.
Mie ni binadamu tena niliyeumbwa kwa mfano wa Mungu!
Nimecheka alivyosema eti avatar yako ni kama unamcheka yeye
Kiukweli mimi mwenyewe sometimes huwa inanichanganyaHii avatar nilikoment kwenye uzi wa msiba nikaambiwa watu wana majonzi mimi nacheka
Kabisa........kama pombe tu au kucheza pool
Wewe umejuaje Kama kweli alikuwa namaanisha??. Meseji tu ndiyo unapaniki hivyo?? Je ungemfumania??
Nadhani sasa hivi ungekuwa UKONGA
Ndio ukue sasa utafute pesa achana na ngachuri muamini MUNGU tuu.Kwa mda mrefu sana nilikua nasikia sikia tu baadhi ya wanaume wenzangu wakizungumza,,, nilikua nabisha sana mpka wengine mabishano yetu yalikua yanaleta mizozo ya kushikana mashati kutaka hata kupigana.
Yote ilikua ni kuhakikisha nawetetea sana hawa viumbe wa Mungu.
Lakini leo nimejionea na nimeamini kabisa.
Kwamba....
WANAWAKE NI MASHETANI,,,,,,,AND DONT TRUST THEM ANY MORE.,,,,,,,,NI AFADHALI NIKAAMUA KUWAGEUZA KANA CHOMBO CHA STAREHE KWANGU LAKINI SIO KUWACHUKULIA KAMA BINADAMU WENZANGU NA KUWAAMINI......
Not anymore.
Msiniulize nin kimenikuta ila eleweni tu hivo.
UPDATE.....
Wengi mmehitaji nieleze ilikuaje nisiwaache mna hang hang tu.....sasa ngoja nimalizie tu dukuduku lote .
From no where tu .........nilikua naumwa sana week iliopita as usual tukawa tunawasiliana sana na mapole plus maugua pole ya kutosha tu kaka......na tangu siku za nyuma tunawasiliana na kufanya mambo yote kama mtu na mpenz wake aisee......yani kwa kifupi physically tulikua tunapendana sana na kwa upandw wake nilimpenda mpka moyoni mwangu alikaa.
Sasa mim kwakuwa homa ilikua imenikamata sana basi hata simu nilikua nashindwa kushika ila ikitokea meseji au kupigiwa najitahidi napoke.
Sasa zikapita kama week na siku kadhaa hvi hajanitafuta. Sikuona tatizo sana mana as a normal human being kuwa bize na maswala yake mbali mbali kunakuepo....
Basi mi mpka nimepata nafuu kabisa na leo nimetoka hospital kupima na kucheki afya nimekuta kama nilivo fit physically basi hata ndani ya mwili maralia hakuna.
Sasa nikaona ngoja nimcheki mupemzi wa mtima wangu bhana....
Nikapiga simu akapokea but akawa anajibu na kuongea as if anajilazmisha tu lkn hataki kuongea......ghafla akakata na simu kana kwamba kapiga yeye.
Nkajisemea kimoyomoyo "" Huyu vp tena""
Nikamtext "" vp kwema, mbona unakata simu hata sijamaliza kuongea lengo langu la kukupigi"" kulikoni,, unaumwa au kuna shida yoyote""
Jibu nililipata baada ya hapo,,,,,nilikua nimeshika mlango wa bafuni mpka nikataka kuanguka.
Alijibu hivu.
""Usinitumie tena meseji nipo na Mume wangu usije ukaniharibia""
Sijamjibu kitu mpka dakika hii,,,,, na hapa nivoleta huu uzi hapa na kujadili kdogo na nyie wadau wangu naona ghafla duku la moyoni limepungua na nimejikuta kurelax kabisa
Hapo sijamkosea wala hatujakoseana kitu........kama ni ubahili kwake nilikua sina yani mapenzi yalikua fresh tu.
Na hio ni leo kanifanyia hivo.
Sasa nikisema huo ni USHETANI nani atanipinga hapa wakui.