Nilikua nasikia tu kwa watu leo nimeamini kwamba wanawake sio wa kuwaamini

Yeah sema ndiyo hivyo la kuvunda halina ubani
Inawezekana pia ilikuwa ni fursa kwako kama ungetuliza akili.
Huenda alikuwa anataka kuona reaction yako na userious wako ili afanye maamuzi juu yako
 
Na hyo picha yako hapo ndo kama unanicheka mim vile......hahahaa......huwezi kuelewa haya maswala mkuu
Sasa kama wanawake ni mashetani, na mtoto wa shetani si ni shetani?

Habari za mchana shetani mwenzetu.
 
Hahahaaaa!! Sasa shetani baada ya hili unachukua uamuzi gani? Kama vipi si unaenda tu ahera kukutana na malaika. Au bado upo upo?
Na hyo picha yako hapo ndo kama unanicheka mim vile......hahahaa......huwezi kuelewa haya maswala mkuu
 
Pole mkuu kwa yaliyokukuta,tambua kuanzia leo mwanamke si nduguyo wala si mtu wa kumuamini kwa 100%,ni wako ukiwa nae tu
 
Mwenza na wewe ni shetani?
Akuuu! Shetani ni huyo huyo mleta mada.
Mie ni binadamu tena niliyeumbwa kwa mfano wa Mungu!

Nimecheka alivyosema eti avatar yako ni kama unamcheka yeye
 
Thats right. Japokuwa si kwa wote. Ukibahatika kumpata alie serious yes.. lakin kama ni hawa hawa just Muangalie tu. Wakifanya decision za kijinga just chill... nenda zako. Huwa wanapataga akili age ikigonga 30 halaf zile zunguka zao hazijawafikisha kokote.
Kila siku huwa nawaambia hamnielewi

"Mpende kiasi,mtunze, mheshimu na umpe show za maana na mpe pesa kiasi cha uwezo wako ila tu USIMUAMINI"

Hii itakupunguzia maumivu na utakuwa na maamuzi sahihi ukigundua ushenzi wake.
 
Hii avatar nilikoment kwenye uzi wa msiba nikaambiwa watu wana majonzi mimi nacheka
Akuuu! Shetani ni huyo huyo mleta mada.
Mie ni binadamu tena niliyeumbwa kwa mfano wa Mungu!

Nimecheka alivyosema eti avatar yako ni kama unamcheka yeye
 
Man nikwambie jambo moja tu. I know huu ninwakati mgumu kwako. But one thing is chill and control yourself. Usimtafute, futa number na kila kitu mlichoshea.
wanawake wa design hii huwa wana maamuzi ya haraka haraka bila kuangalia side effect.
Huyu muache, ila nakuhakikishia brother atarudi. Atarudi tena akilia sana yaani. Kwa uzoefu wangu nilishawahi kukutwa na tukio kama lako. Demu out of no where anakutema bila sababu.
hakukupenda mwanzoni ila ali act, na nafurah amaekuacha maana amefungua njia ww kupata mkali zaid yake. Just chill atakuja.
For now focus on your life kwanza.
Kabisa........kama pombe tu au kucheza pool
 
What kind of evidence unataka? Hata kama ni hutani huo si utani wa kumwambia mwenzio.. hakunaga utani mbaya kama huo. Otherwise angemtafuta kwa muda wake the amwambie kuwa alikuwa anatania.
Wewe umejuaje Kama kweli alikuwa namaanisha??. Meseji tu ndiyo unapaniki hivyo?? Je ungemfumania??

Nadhani sasa hivi ungekuwa UKONGA
 
Kwa mda mrefu sana nilikua nasikia sikia tu baadhi ya wanaume wenzangu wakizungumza,,, nilikua nabisha sana mpka wengine mabishano yetu yalikua yanaleta mizozo ya kushikana mashati kutaka hata kupigana.

Yote ilikua ni kuhakikisha nawetetea sana hawa viumbe wa Mungu.

Lakini leo nimejionea na nimeamini kabisa.

Kwamba....

WANAWAKE NI MASHETANI,,,,,,,AND DONT TRUST THEM ANY MORE.,,,,,,,,NI AFADHALI NIKAAMUA KUWAGEUZA KANA CHOMBO CHA STAREHE KWANGU LAKINI SIO KUWACHUKULIA KAMA BINADAMU WENZANGU NA KUWAAMINI......

Not anymore.

Msiniulize nin kimenikuta ila eleweni tu hivo.

UPDATE.....

Wengi mmehitaji nieleze ilikuaje nisiwaache mna hang hang tu.....sasa ngoja nimalizie tu dukuduku lote .

From no where tu .........nilikua naumwa sana week iliopita as usual tukawa tunawasiliana sana na mapole plus maugua pole ya kutosha tu kaka......na tangu siku za nyuma tunawasiliana na kufanya mambo yote kama mtu na mpenz wake aisee......yani kwa kifupi physically tulikua tunapendana sana na kwa upandw wake nilimpenda mpka moyoni mwangu alikaa.

Sasa mim kwakuwa homa ilikua imenikamata sana basi hata simu nilikua nashindwa kushika ila ikitokea meseji au kupigiwa najitahidi napoke.

Sasa zikapita kama week na siku kadhaa hvi hajanitafuta. Sikuona tatizo sana mana as a normal human being kuwa bize na maswala yake mbali mbali kunakuepo....

Basi mi mpka nimepata nafuu kabisa na leo nimetoka hospital kupima na kucheki afya nimekuta kama nilivo fit physically basi hata ndani ya mwili maralia hakuna.

Sasa nikaona ngoja nimcheki mupemzi wa mtima wangu bhana....
Nikapiga simu akapokea but akawa anajibu na kuongea as if anajilazmisha tu lkn hataki kuongea......ghafla akakata na simu kana kwamba kapiga yeye.

Nkajisemea kimoyomoyo "" Huyu vp tena""

Nikamtext "" vp kwema, mbona unakata simu hata sijamaliza kuongea lengo langu la kukupigi"" kulikoni,, unaumwa au kuna shida yoyote""

Jibu nililipata baada ya hapo,,,,,nilikua nimeshika mlango wa bafuni mpka nikataka kuanguka.

Alijibu hivu.

""Usinitumie tena meseji nipo na Mume wangu usije ukaniharibia""

Sijamjibu kitu mpka dakika hii,,,,, na hapa nivoleta huu uzi hapa na kujadili kdogo na nyie wadau wangu naona ghafla duku la moyoni limepungua na nimejikuta kurelax kabisa

Hapo sijamkosea wala hatujakoseana kitu........kama ni ubahili kwake nilikua sina yani mapenzi yalikua fresh tu.

Na hio ni leo kanifanyia hivo.

Sasa nikisema huo ni USHETANI nani atanipinga hapa wakui.
Ndio ukue sasa utafute pesa achana na ngachuri muamini MUNGU tuu.
 
Kutendwa atendwe mwanaume dunia nzima itajua, ila akitenda mwanaume (akitendwa mwanamke) aahh yeye ni kidume cha mbeguu na mwanamke ni mvumilivu atulie tuu na mwenzie apate utamu.

Siku hizi kuna msemo wa pambana na hali yako, na kitu kikikupata saa nyingine usitake kujua sana sababu ya hiki kitu kutrokea. Endfelea mbele ukikutana na kitu kingine maisha yanaendelea kama kawaida.

Ilinisumbua sana hii kitu wakati niko mschana, ila tangu niwe mtu mzima, nikiwa nae uso kwa uso mahaba mia mia, na akiwa na wengine mie hata hainisumbui maana anapambana na hali yake ila akirudi kwangu kwa raha zetuuu.

Kama hukuwahi kumdanganya chochote kwenye maisha yako basi pole ila kama nawewe ulishawahi kukosea au kumdanganya vumilia tuu, jikaze piga ukunga hasira na maumivu yaishe kisha maisha yaendelee.

Kasie Motomoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom