Nilikua na ndoto ya kusoma chuo Mlimani tangu nikiwa shule ya msingi

Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi.

Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma.

Basi ndipo nilipoanza kupiga kitabu kwa bidii ili nifike Mlimani. Hapo ilikua ni shule ya Msingi

Nilipiga kitabu sana mpaka kidato cha sita. Mungu si athumani nikachaguliwa kujiunga chuo cha MLIMANI pale COET kwa kozi ya Electrical Engineering. Kwakweli nilifurahi sana.

Harakaharaka nikaenda zangu MLIMANI. Kwakweli yale mazingira yalinivutia sana.

Mpaka nahitimu degree yangu ya kwanza bado natamani kurudi MLIMANI.
Wewe kilaza umesoma sociology

Unajimwambafai na cost
 
zamani sana mkuu, 2010
Una miaka 24, halafu udsm ulimaliza 2010?
IMG_1299.jpg

Sana aise narudi sio muda kupiga PHD kwenye mdegree

PHD ndiyo kitu gani...!?
Ni wale ngedere wanaozunguka kwenye huo mdegree ndio unaenda kupiga?
 
Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi.

Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma.

Basi ndipo nilipoanza kupiga kitabu kwa bidii ili nifike Mlimani. Hapo ilikua ni shule ya Msingi

Nilipiga kitabu sana mpaka kidato cha sita. Mungu si athumani nikachaguliwa kujiunga chuo cha MLIMANI pale COET kwa kozi ya Electrical Engineering. Kwakweli nilifurahi sana.

Harakaharaka nikaenda zangu MLIMANI. Kwakweli yale mazingira yalinivutia sana.

Mpaka nahitimu degree yangu ya kwanza bado natamani kurudi MLIMANI.
Elimu haina mwisho, fanya urudi tena.
 
Back
Top Bottom