mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,518
- 19,883
Mimi sijawahi kupigwa miti.Walisha kupiga miti mkuu???
Lakini kutokana na mihangaiko yangu ya kimaisha imeniwezesha kuona mengi sn ktk dunia hii..
Mbele ya mtutu wa bunduki huna utakachopinga mkuu..
Ila elewa kwamba ukiwekwa Kati na watu wa kazi utavua chupi mwenyewe na mavi yako watatumia kama kilainishi.
Usiombe uwekwe Kati mkuu..
Kama hujawahi kuwekwa Kati basi utaongea maneno mengi sn nje ya keyboard..
Hivi unadhani wale wanaopigwa na kukiri police wamependa kuongea?