nilijua wanaofanya hivi ni wanahiphop wa kiume kumbe adi mabinti

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
scoprion_galz.jpg scoprion_galz.jpg

style ya kushika nyeti nilijua ni kwa maboyz tu kumbe adi mabinti ilo ni kundi lakina jini kabula,issabela na ....
 
Inaonekana ukiwa jukwaani kimuziki chini panawasha

tusubiri wanahiphop waje,kipind narap enzi za shule ya msingi nilikuwa nashika nyeti sababu nilikuwa navaa nguo oversize,hivo nazui suruali isiteremke chini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom