Nilijua ni story tu ila dah! Pisi kali punguzeni kulia shida

Aisee mi kuna moja la kichagga mpaka nikiwa napokea simu yeye mwenyewe anacheka kwanza yani utafikiri matatizo yanamfata yeye tu mara gesi imekata,mtoto ada mara baba anaumwa aisee nilijikuta naanza kuzeeka sababu ya majukumu ya ghafla

Dah wanazingua sana, me napiga then napotea
 
Mkuu hiyo ni malaya mbona sema tu labda hujaelewa mambo ilivyo, hushangai mpaka saa nane umekaa naye mpaka unafanya kuaga wewe yeye hakuwaza kabisa kuna kuondoka na kama ungeomba mechi siku ile ungeuziwa.

Chakufanya chukua Room muite mchumba mwambie mshahara haujatoka ila ukitoka nitakujali, mpe za rangi mbili tatu unakula nyapu kisha unapita kule.

Ukiona vipi hiyo pesa mbili tatu ya room na ya kumpa siku hiyo Jau mchukue wife na familia nenda kale goodtime night moja kisha unafunga zipu kiaina
 
Back
Top Bottom