Nilijua kama atakuwa Sheni Mzee wa mikasi

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,745
Yaani sasa wamempandisha chati baada ya kufuzu kukata utepe wa Mwenge wa Olimpik ameenda maulaya kufungua ,huyu lazima atafutiwe mkasi wa zaabu ,mi sasa nimekuwa mtu wa fulaha tu ,heko Mzee wa kipemba huna makubwa.
 
Idumu Pemba..!!

Idumu mikasi..!!
 
Yaani sasa wamempandisha chati baada ya kufuzu kukata utepe wa Mwenge wa Olimpik ameenda maulaya kufungua ,huyu lazima atafutiwe mkasi wa zaabu ,mi sasa nimekuwa mtu wa fulaha tu ,heko Mzee wa kipemba huna makubwa.

duh mkuu kiswahili chako kinachekesha kweli,

zaabu= DHAHABU.

fulaha=FURAHA.

mchana mwema.
 
Wakikusikia wenyewe sijui utawambia nini?

Usipime shekhe..

Mie mmojawapo shekhe..

Usidhani mikasi twamaanisha 'yale mambo yetu', hii yaongelewa hapo ni ile ya kukata utepe wa kijishugh'li yakhe..

al Masih
 
Back
Top Bottom