Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,726
Leo nilijua itakuwa kiama kwa waziri msomi yule aliyesema watanzania wanamitaji ya kuwekeza katika matunda na juice sio gas ambaye aliyetimuliwa kwenye sakata la Escrow na kurudshwa tena kwenye awamu hii.
Ikumbukwe kuwa waziri mkuu alipofanya ziara juzi bandarini aliambiwa na afisa mmoja wa ngazi ya juu kuwa mheshimiwa huyu waziri msomi alituma sms kuwashtua waweke mambo sawa.
Naamini lengo la mheshimiwa msomi ilikuwa kuficha madudu ambayo huenda yalikuwa yakimnufaisha kwa namna moja au nyingine.
Sasa leo nilidhani atapigwa chini ili tuwe na imani zaidi na Mh Rais na serikali yake akini mpaka nazima TV sikushuhudia hili. Nimevunjika moyo.
Ule wimbo wa komba una ukweli ndani yake.