Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,350
- 4,485
- Thread starter
- #21
Sasa wametokota kabisa na si kuchemshaBinafsi naona wali'set the bar up high na F7.
Wanajaribu ku'maintain ile spirit yao ya kuwa na matukio yenye kuamsha hamasa na kutoa macho ya watazamaji, kwa kuongeza celebs kwa cast, bombastic actions sequences (kudos kwa masumaku! ), na set-ups for either spin-offs au next chapters.
Koote huko kunawapelekea kuongeza hadi yanayokuja kuonekana hayakuwa na maana/uhitaji wa lazima kuwepo kwenye Movie for it to make sense (mfano, Cardi B na ile team yake, unless yo a fan of Cardi B. No offense!).
Kwenda space na kagari... . Katakuwa kazito balaa.
Ila all in all, haikuwa mbaya saana (ukiitizama yenyewe kama movie zilitolewa July, ukiacha kui'compare na FF movies zingine).