Nilijifunza kutongoza kwa hii nyimbo ona basi

Mie wangu ulikuwa huu hapa na hadi leo naupenda mno. Rip Roger (mzee wa Carlifonia Love with Tupac).

Last edited by a moderator:
Sijambo. Kama alijifunzia hapo, maana yake ni definitely under 30 as I assume alianza kujifunza before 20 (miaka ya University)
Mwali Mwanangu yupo hapo Tanzania Mwanangu wa kiume naona kiumri mko sawa na wewe au kakuzidi kidogo umri niliokuwa nao bado nijifundishe kutongoza? nilijifundisha kutongoza mnamo mwaka 1974 nilipokuwa namaliza shule ya msingi mpaka leo bado nijifundishe kutongoza hahahahah kazi kweli nimeshakuwa mzee Mwali natania tu.
 
How old do you think I am :)
 
Sijambo. Kama alijifunzia hapo, maana yake ni definitely under 30 as I assume alianza kujifunza before 20 (miaka ya University)
Nyimbo niliyokuwa najifundishia kutongoza ni hii hapa hebu angalia Mwali
 
Last edited by a moderator:
Basi nakumbuka miaka hiyo kuna watoto walikuja kwenye graduation skuli kwetu mwanaume nilikuwa nimemeza misitari yote ya huo wimbo nikapanda jukwaani nikashuka hio mistari na nilienda na bit vile vile ..niliposhuka pale basi watoto haoo wakawa wananiona staaa kumbe hamna kitu nilikremu mistari
 
Back
Top Bottom