Niliimiss JF na niliwamiss nyie Zaidi......

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Yapata zaidi ya wiki sasa nimekuwa naonekana kwa machale hapa jukwaani,
Hii imekuwa ikitokana na sababu mbalimbali zilizokuwa nje ya uwezo wangu jamani,
Mwanzoni ka kompyuta kangu kaligoma kuniruhusu kuingia hapa jukwaani,
Mara tena nikawa na mizunguko kama mheshimiwa fulani,
Ila kwa sasa nimerudi, tena nimerudi kwa kasi aminini

Vesi hizo.......
 
102176.gif
 

Asante sana ewe binti mrembo, nashukuru kwa maua yako na hata huyo ulomtuma ayalete,
Nina swali nataka uliza na jibu pia natarajia, naweza baki na mletaji au kwako tena nimlete?
 
asante sana ewe binti mrembo, nashukuru kwa maua yako na hata huyo ulomtuma ayalete,
nina swali nataka uliza na jibu pia natarajia, naweza baki na mletaji au kwako tena nimlete?
arudi hapa sasa hv maana matunzo yake hutoyaweza huyo asubui anakunywa juice nasoseji kumi
 
arudi hapa sasa hv maana matunzo yake hutoyaweza huyo asubui anakunywa juice nasoseji kumi
Usijali maana wanasema ukipenda ua penda na boga lake, ntampa juice soseji 20 ili mradi niendelee kuwa na kumbukumbu hii njema
 
Karibu saana, na pole na mikwaruzo ya hapa na pale... Hopefully sasa mambo yooote yataenda vizuri.... Best of Luck.
 
Karibu saana, na pole na mikwaruzo ya hapa na pale... Hopefully sasa mambo yooote yataenda vizuri.... Best of Luck.
Thank you lots Ashadii and i am glad i found you guys mko poa kama kawa
 
Ziara nyingine lini tena?maana wewe jk hamshikiki
mwenzio jk bado hajarudi
 
Ziara nyingine lini tena?maana wewe jk hamshikiki
mwenzio jk bado hajarudi
Hahahaaa very soon na inayokuja naenda South Africa hope tutakutana na ziara partner wangu huko ............. teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom