Niliiba gari nyumbani nikiwa form 2 nikala mzinga

Fanya Mpango Umpe Zawadi Mzee, andaa kama M1 uende umpe Zawadi halafu umwambie huu Ukweli kuhusu huo mkasa. Halafu hitimisha stori kwa Kumwambia BABA UNAJUA KULEA. Wenzio tulikuwa tunapigwa kwa kuzembea Kifaranga wa Bata akatumbukia kwenye ndoo au dishi la maji afe. Au uzembee mwewe/kipanga akwapue kifaranga cha kuku mziki na bakora zake utahamia kwa bibi.

Au uchukue PHOENIX ya Mzee upige shimo SPOKU HATA 1 ivunjike utaomba pooo Bakora zake. Huwa nikimkumbusha Mzee ananambia nililenga kukujengea Umakini ndio maana leo wewe ni Wewe!
SEMBUSE GARI IGONGWE???
Umenigusa Mimi kabisa mkuu
 
Dah, mimi niliiba baiskeli aina swala kwenda kijiji cha jirani,ile narudi dingi huyu hapa.. kabeba likuni kanitwisha kama mara tatu hivi nikapata upenyo, siku tatu nililala nje dadeki
Dah pole mzee
 
Sawasawa mkuu, ule uzi huwa nikisoma visa vyake vinavuta hisia sana...

Hii ya kuiba magari, pikipiki, baiskeli za nyumbani wengi wamefanya, nishawahi soma pia Mange Kimambi akisimulia kisa kama hiki cha kuchukua ndinga home halafu matokeo yake ni kupata ajali...
mkuu weka link ya huo uzi
 
Fanya Mpango Umpe Zawadi Mzee, andaa kama M1 uende umpe Zawadi halafu umwambie huu Ukweli kuhusu huo mkasa. Halafu hitimisha stori kwa Kumwambia BABA UNAJUA KULEA. Wenzio tulikuwa tunapigwa kwa kuzembea Kifaranga wa Bata akatumbukia kwenye ndoo au dishi la maji afe. Au uzembee mwewe/kipanga akwapue kifaranga cha kuku mziki na bakora zake utahamia kwa bibi.

Au uchukue PHOENIX ya Mzee upige shimo SPOKU HATA 1 ivunjike utaomba pooo Bakora zake. Huwa nikimkumbusha Mzee ananambia nililenga kukujengea Umakini ndio maana leo wewe ni Wewe!
SEMBUSE GARI IGONGWE???
Lingekufa jitu
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom