NILIHAMISHIWA PRIMARY JE NIFANYEJE ILI NIRUDI IDARA YA SEKONDARI?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Wanabod Mimi ni mwalimu niliyekuwa nafundisha advanced level mwaka jana nilipitiwaga na sakata LA uhamisho wa kwenda kufundisha primary

Ki ukweli mambo huku ni magumu yaan madogo hawanielew kbsaa pia hata mim najikuta vitu nilivyosomea naanza kusahau kabisa

Je nitumie mbinu gani niweze kurudi kwenye idara yangu ya awali?

Msaada tafadhar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muone mkurugenzi wako wa wilaya umuelezee hii yako kwa kina,hope atakuelewa tu
 
Mshahara ulipungua ?, if you ask me hakuna kazi muhimu na mwalimu muhimu kama wa Primary, sababu hapo ndio ule msemo wa samaki mkunje angali mbichi yaani huku mbele hata mwalimu akiwa hafai mtu unaweza kutoboa, ila msingi mbovu ni pigo la milele...
 
Wanabod Mimi ni mwalimu niliyekuwa nafundisha advanced level mwaka jana nilipitiwaga na sakata LA uhamisho wa kwenda kufundisha primary

Ki ukweli mambo huku ni magumu yaan madogo hawanielew kbsaa pia hata mim najikuta vitu nilivyosomea naanza kusahau kabisa

Je nitumie mbinu gani niweze kurudi kwenye idara yangu ya awali?

Msaada tafadhar

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh haya maajabu ya ajira za Ualimu,kutoka kufundisha Advanced level hadi primary level??,Anyway vipi lakini zile digits za kwenye salary slip zimebadilika pia au zilibaki kama zilivyo?
 
Kama Kweli ulikuwa unafundisha Kidato Cha Tano Na Sita maana yake kiwango Cha chini kabisa Cha Elimu itakuwa Diploma japo inaweza Ukawa Na shahada ya kwanza Au uzamili

Mie nakushauri usipiganie kurudi kufundisha Secondari baki huko huko Primary then anza fitna Za kupata Ualimu MKuu then utoboe kwa style hiyo

Utaweza ku shine Kwenye kundi ulilolizid kwa haraka Kuliko ukiwa kwny kundi ambalo mko level sawa
 
Pohamba in this beat

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Una diploma au degree?? Kama diploma, nenda ADEM kasomee Education Mgt uwe hata mkaguzi au mwalimu mkuu au mratibu elimu

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Kaombe kusoma masters kapige halafu rudi waambie unataka kuhama idara
Wanabod Mimi ni mwalimu niliyekuwa nafundisha advanced level mwaka jana nilipitiwaga na sakata LA uhamisho wa kwenda kufundisha primary

Ki ukweli mambo huku ni magumu yaan madogo hawanielew kbsaa pia hata mim najikuta vitu nilivyosomea naanza kusahau kabisa

Je nitumie mbinu gani niweze kurudi kwenye idara yangu ya awali?

Msaada tafadhar

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnaona kama kupelekwa msingi ni kushushwa cheo, madogo hawakuelewi kwa sababu haupendi unachokifanya hali inayopelekea kupungua kwa ufanisi wako ndio maana hawakuelewi... usichukulie kama umeadhibiwa bali chukulia kama ni umebadilishiwa majuku kitu ambacho ni kawaida kwa muajiriwa. Lakini unaona hauwezi kabisa kuendelea fanya juu chini upate ruhusa ya kuenda kusoma um sure ukirudi hautarudia hapo na hata ukirudi hautakaa kwa muda mrefu utabadilishiwa majukumu
 
Fanya uamuzi mmoja tu kati ya huu nitakao kushauri; Kubaliana na hali halisi ya wewe kushushwa kufundisha msingi ingawa ulikuwa ni mwalimu wa A-level (maana mwalimu ni kama mkulima hivyo hutakiwi kuchagua jembe) na hivyo uendelee na majukumu yako maana salary yako iko pale pale;

na kama unaona huwezi kabisa kuendana na hayo mazingira ya kufundisha watoto wadogo (ingawa unaweza kuwa na sababu ya msingi maana hukuandaliwa kufundisha watoto wa rika hilo), achana na hiyo kazi ya serikali na uende ukatafute kazi shule binafsi za sekondari au uache kazi na kwenda kufanya mambo mengine. Wenzako wengi walioshushwa huko primary, wamechukua moja ya njia hizo mbili.
 
Bonge LA ushauri nataka niachane nayo hii Kaz na pia kwa sasa nafanya masters open university

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom