Nilihama Tigo kwenda Airtel kwa unafuu wa bando kumbe huku ndiyo wezi wakubwa

Naomba niwatetee airtel, kwenye bando wako vizuri aliishi haraka kama voda wako fair sana kwenye hilo, changamoto yao ni 4G yao tu ndo haiko strong, wajitahidi kusambaza minara ya 4G Dar yote then ndo wahamie mikoani.
View attachment 1353944
Mkuu unapaswa kufikiria vizuri kabla ya kuandika, wewe umeleta menu umebandika, hiyo menu wote tunaijua kinachosemwa nikuwa wanakuambia kuwa kifurushi cha week ni 2000 unanunua wanakupa GB I kabla hujakitumia wanakuambia balance yako ni 81mb hilo ndilo tatizo lililopo, iweje baada ya masaaa kumi wakuambie hivyo Wakati bado kifurushi hujakitumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapaswa kufikiria vizuri kabla ya kuandika, wewe umeleta menu umebandika, hiyo menu wote tunaijua kinachosemwa nikuwa wanakuambia kuwa kifurushi cha week ni 2000 unanunua wanakupa GB I kabla hujakitumia wanakuambia balance yako ni 81mb hilo ndilo tatizo lililopo, iweje baada ya masaaa kumi wakuambie hivyo Wakati bado kifurushi hujakitumia?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu angalia vizuri hiyo menu 1GB unapewa kwa siku tatu, binafsi airtel hawajawahi kunifanyia uhuni huo wa kunibakizia mb81. Natumia laini ya chuo
 
Tigo kifurushi cha chuo wametoa, watu kibao wamewaacha, sirudi tigo ng'ooooo hata wanipe bila KY tigo sitaki tena, wapuuzi sana
 
Mi natumia Airtel Mwaka wa Pili huu Hawana huo Mchezo itakua simu yako inashida
Mkuu nitumwe na Nani? Lazima niseme wameniibia, ni wezi wakubwa wameiba nimeweka vocha Jana saa mbili usiku nikanunua kifurushi cha GB moja sijatumia hata mb 200 inakuwaje waniambie kuwa nimebaki na mb 81.89? Na cha ajabu nikawauliza Mara Tatu wanajibu hivyo hivyo ila baada ya kuleta malalamiko humu sasa hivi nikicheck wananiambia kuwa Nina MB 360

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akilinjema, Ukitaka uondokane na usumbufu wa vocha za ttcl, weka hata elfu 5 kwenye M PESA kisha unarusha kwenda T PESA alafu utakuwa unanunua vocha kupitia T PESA.

Mimi ndio mtindo wangu huo hata hii mitandao mingine vocha za kukwangua nilisha achana nazo, mimi ni M pesa, halopesa tigopesa nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimetumia mtandao wa tigo mfulurizo takriban miaka 19,lakini juzi kati wamejiingiza kwenye tamaa ya kunufaika zaidi...nami nimesitisha mahusiano nao mpaka watakaporudi na unafuu...eti saizi yangu kwa elfu 5 dk 250 na gb 1 kwa siku 7..
big up airtel buku 6 dk 500 gb 2.kwa siku 30.kwa uni ofa...
 
Hivi kuna mtandao wezi wa data kama tigo?

mleta mada umetumwa?
Kabisa yaani, naunga mkono huyu katumwa

Kama hajatumwa, basi n Muhimu aangalie settings za cimu yake, sometimes ukijisahau kweny backup mb zina ondoa kama umeme, backup inafikia hd mb 579


Sasa km hujui unakuta dkk 10 Huna mb, unaanza kulaumu mtandao

Hakuna km airtel kwa sasa,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Airtel napenda kutuimia kwa ajili ya dakika , ila kwa Mb hapana hawana tofauti na voda .
 
Kwa sasa nadhani unafuu upo kwa TTCL japo toka juzi sijui wamepatwa na shida gani internet haieleweki.
 
Wakuu juzi baada ya Tigo kuondoa vifurushi vya wanyonge nikaona isiwe taabu nikapata ushauri Kwa watu wengi kuwa nirudi nyumbani kumenoga nikawauliza ndio wapi huko? Wakasema kunaitwa Airtel basi nikanunua laini kwa mbwembwe zooote nikajiunga jana kifurushi cha week nikapata GB 1 nikasema hapa sawa sitoki.

Basi wakuu nilijiunga usiku jana; leo nimeigia FB tu mara chache na JF, mara tatu sasahivi nacheki balance wananiambia kuwa balance ni 81.80 MB. Khaaaaa, hawa ndio wezi wakubwa kuliko hata Tigo.

Yani nimekimbia mkojo nimekuja kukanyaga mavi; walahi nimejuta hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_4137.JPG
Angalia hiyo ripoti alafu ndio ukoment tena . Hakuna mtandao rahisi kama airtel.
 
Back
Top Bottom