princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,197
- 2,051
- Thread starter
- #81
Aisee kidude kipi tena?Kuna mahali nimeandika sijaelewa lugha??
Tuliza hicho kidude huko ndichi
Aisee kidude kipi tena?Kuna mahali nimeandika sijaelewa lugha??
Tuliza hicho kidude huko ndichi
Angalia comment yako ya kwanza umeandika kwamba mimi ndo chizi,ni kwa jinsi gani inaonyesha hujaelewa thread coz nimeelezea situation ilivokua mamiloo!!Kuna mahali nimeandika sijaelewa lugha??
Tuliza hicho kidude huko ndichi
Yaan Kipururu cha huyu chalii sio cha kawaida.Kuna mahali nimeandika sijaelewa lugha??
Tuliza hicho kidude huko ndichi
Hahaha ntampeleka Upongoji,au Mtoni kule kidalu,Ivi bwashee bado anaonyesha banda umiza dingii?Next time kajifungie nae free park, au kule kwa bwashee karibu na minala miwili.
AiseeDuh mbona naona wewe ndiyo chizi mwenyewe inawzekana huyo manzi alikuwa mzima ila yeye kaingia kwa chizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka miwili sasa sijafika lkn mwaka huu mungu akijalia ntafika;Hahaha ntampeleka Upongoji,au Mtoni kule kidalu,Ivi bwashee bado anaonyesha banda umiza dingii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndo umeandika nini sasa??? Inawezekana huyo dada ni mzima lakini alifanya mapenzi na kichaa bila kujuaa.. Au wote mlikuwa vichaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhhhh.....
Mkuu, mbona unanichanganya zaidi...!!
Kwani skuizi kiswahili ndio kumekua na .com kumbe...
Sasa na huku njombe niliko ,kuifahamu ni kitendawili ,ila fresh arifuuRahisi kinyama kuielewa aisee,,especially ukiwa maeneo ya Ngarenaro,Ngalimi,Daraja mbili ndo hii slang huzungumzwa sana,so chap na haraka unaielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Baridi barafu bhudaa,namimi lazima nitimbe this tyme aroundMiaka miwili sasa sijafika lkn mwaka huu mungu akijalia ntafika;