ujangili ulikithiri mkuu, kuna habari niliisoma eti 60% ya tembo wetu walipotezwa kwa kipindi kifupi sana chini ya miaka 10Mikumi miaka hiyo palipendeza Ila ni miaka ya 1990s. Wanyama wa aina zote kuanzia Simba, nyati, Tembo, Twiga, swala, pundamilia, nyani n.k. wakionekana ukiwa barabarani tuu. Ila sasa sionagi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app