Nilidhani ni Dar tu kuna mashoga, Arusha hali inatisha!

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Arusha mji umeharibika sana huu jana nikiwa Club moja hapa jijini wakaingia wanaume wawili ambao niliwahisi vibaya mara nikashangaa wanaanza kupakatwa tena live?

Mwanaume unapakatwaje na mwanaume mwenzako nilivyomuuliza baamedi mmoja akanambia huyo ni mwanaume poa na akasema huku Arusha washaanza kuona ni jambo la kawaida maana hali ya ushoga ni kubwa kuliko hata Dar.

Nimesikitika sana kwasababu sijui Taifa linaelekea wapi.

Usishangae ukiwa Arusha mimi niliyaona Dar tu nimezunguka mikoa ya Tanzania mingi ila naona tatizo hili lipo Dar na Arusha hii mikoa ni too much.

Kwa sisi wazazi tunaoishi mikoa ya Arusha na Dar es Salaam tunapaswa tuwe makini na malezi ya watoto wetu maana Arusha, Dar hili tatizo linakua kwa kasi kuliko hata mikoa mingine Tanzania.

Rafiki yangu mmoja nimweleza akanicheka sana akanambia", unashangaa nini mbona huku Arusha ni kawaida tu?" Mpaka imefikia hatua ya watu kuona ni jambo la kawaida ni hatari sana

Ee Mungu tunusuru
 
Ukiwa na mtoto wa kiume chunga sana na shule za boarding, Kulala na mjomba, kucheza nje sana bila ya kumuona. Nasema haya kwa ushuhuda kuna dogo aligegedwa na masela Kona live, wajomba wengi ndio wale madomo zege na shule za boarding kule hakufai aiseee astahfirullah. Alianza shule akiitwa James kamaliza shule anaitwa James delicious madafanta.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Ni mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekaa dar kwa miaka kadhaa na sijawahi kukutana na shoga, lakini kuna watu kila mara wanalalamika ushoga umeongezeka, mimi nadhani ukiona wewe unakutana na mashoga basi jitizame vizuri nyendo zako na viwanja vyako, inawezekana una enjoy kampani yao ndio maana kila siku unawaona.
 
Kampan ya mashoga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom