Uliambiwa usome wewe ukacheza unafikiri nini? Lazima adhabu ya kutokusoma ikuandame. Ungalipata div one A physics, A maths ungeenda engineering tu. Angalia vyuo vya engineering vinavyohaha kutafuta wanafunzi. Rubani kwa taarifa yako ni dereva kama wa Passo ila yeye Passo yake inaruka angani.Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunasomoa PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki.
Aisee elimu hii ovyo sana.
Aisee acha tu ndugu zangu
Uliambiwa usome wewe ukacheza unafikiri nini? Lazima adhabu ya kutokusoma ikuandame. Ungalipata div one A physics, A maths ungeenda engineering tu. Angalia vyuo vya engineering vinavyohaha kutafuta wanafunzi. Rubani kwa taarifa yako ni dereva kama wa Passo ila yeye Passo yake inaruka angani.
Aliambiwa asome PGM ila sasa anaosha Vyombo vya mhindi. Hivyo hakufaulu na sababu kubwa ya kutofaulu Masomo hasa ya sayansi, acha kujitetea ni kutokuwa serious. Kwa hili hakuna siasa wala mambo ya kuzunguka. Hata angepata D ya physics na D ya mahesabu anachukuliwa. Mara nyingi kwenu K akianza kulika kabla ya kumaliza shule ndiyo hollaSs mkuu wote tungepata hizo A pasingetosha mjini hapa
Aliambiwa asome PGM ila sasa anaosha Vyombo vya mhindi. Hivyo hakufaulu na sababu kubwa ya kutofaulu Masomo hasa ya sayansi, acha kujitetea ni kutokuwa serious. Kwa hili hakuna siasa wala mambo ya kuzunguka. Hata angepata D ya physics na D ya mahesabu anachukuliwa. Mara nyingi kwenu K akianza kulika kabla ya kumaliza shule ndiyo holla
Hivi kwanini huwa husomi umetulia mtoto wa kisukuma? Unakurupuka tu! Nasema mwanafunzi akiwa serious na masomo hawezi kukosa kutimiza ndoto zake. Hakuna visingizio. Magenius wataonekana NECTA si vijiweniUnatoka nje ya mada...kwan amesema yy ni ke?mbona kitaani wlokua magenius leo wanawaomba lift au buku walokua vilaza?masuala ya k yamekujaje!srma ndoto zake hazikutimia tu...!😏