Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
6,988
8,497
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii jau sana.
images (2).jpeg
1214208_xsa.jpg
 
Attachments

  • images (62).jpeg
    images (62).jpeg
    10.6 KB · Views: 8
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunasomoa PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki.

Aisee elimu hii ovyo sana.
Uliambiwa usome wewe ukacheza unafikiri nini? Lazima adhabu ya kutokusoma ikuandame. Ungalipata div one A physics, A maths ungeenda engineering tu. Angalia vyuo vya engineering vinavyohaha kutafuta wanafunzi. Rubani kwa taarifa yako ni dereva kama wa Passo ila yeye Passo yake inaruka angani.
 
Ss mkuu wote tungepata hizo A pasingetosha mjini hapa
 
Ss mkuu wote tungepata hizo A pasingetosha mjini hapa
Aliambiwa asome PGM ila sasa anaosha Vyombo vya mhindi. Hivyo hakufaulu na sababu kubwa ya kutofaulu Masomo hasa ya sayansi, acha kujitetea ni kutokuwa serious. Kwa hili hakuna siasa wala mambo ya kuzunguka. Hata angepata D ya physics na D ya mahesabu anachukuliwa. Mara nyingi kwenu K akianza kulika kabla ya kumaliza shule ndiyo holla
 
Unatoka nje ya mada...kwan amesema yy ni ke?mbona kitaani wlokua magenius leo wanawaomba lift au buku walokua vilaza?masuala ya k yamekujaje!srma ndoto zake hazikutimia tu...!😏
 
Unatoka nje ya mada...kwan amesema yy ni ke?mbona kitaani wlokua magenius leo wanawaomba lift au buku walokua vilaza?masuala ya k yamekujaje!srma ndoto zake hazikutimia tu...!😏
Hivi kwanini huwa husomi umetulia mtoto wa kisukuma? Unakurupuka tu! Nasema mwanafunzi akiwa serious na masomo hawezi kukosa kutimiza ndoto zake. Hakuna visingizio. Magenius wataonekana NECTA si vijiweni
 
Bw mpishi kama badala ya kwenda prepo ulikuwa unaenda makanyagio au ruaha club disko au uwanjani kule chini kuinamisha mademu au kusimama kwenye korido za juu gizani kula mate watoto wa watu utakuwaje rubani? ukimuona mwalimu Mgimwa..Masatu..Tende waambie nawasalimia
 
Back
Top Bottom