Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044
Mkuu hata kukata vizuri nyanya, vitunguu na karoti lazima uwe umeiva vizuri katika kutafuta angle ya elevation, hivyo hujapotea ni mle mle tu.
 
Huyu jamaa anawazingua tu nyie hamjui...ni rubani anarusha dege kubwa tu na nimewahi kuonana nae

Shenzy
 
Unatoka nje ya mada...kwan amesema yy ni ke?mbona kitaani wlokua magenius leo wanawaomba lift au buku walokua vilaza?masuala ya k yamekujaje!srma ndoto zake hazikutimia tu...!😏

Being blessed with high IQ and analytical powers doesn’t mean you’ll make it rain money because good ideas are a dime a dozen.

Almost everyone has ideas.

It’s execution, work ethic, entrepreneurial lifestyle, and hustle that generates serious cash flow.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044
Matokeo yako ya A level Physic S.
Geography S,Mathematics S .General study F ,
Aisee lazima upike ubwabwa
 
Back
Top Bottom