Nilichungulia kuzimu mashetani, Dunia ina mengi ya kutisha sana.

Story ni nzuri ila nilipenda kile kipande yule mganga alivyo kupapasa mat***ko akitak kukufumua marinda..duh hawa wagang wamekuja na mbinu mpya
Mkuu maisha yanazingua unaamua liwalo na liwe lakini mwisho wa siku hali inakuwa mbaya zaidi na umri unakwenda
 
Sio kweli mkuu katika mazingira hayo huwez kusimama na kufunga kuku
Mkuu ni kweli omba yakukute usije simuliwa na haya ni madogo kwa yaliyo nikuta nikipata muda nitaeleza mukasa ulionipata singida mjini
 
Uanze kusali sanana kwa kusoma biblia na hayo yote yataisha. Jijengee IMANI kuwa utayashinda.

Pole
Asante Mkuu, ila nikipata mda nitaelezea mkasa ulionipata Singida mwaka 2013 ni mambo ya kutisha na kusikitisha ambayo MTU unapaswa kuomba yasikukute
 
Huyu muongo make mm niko maeneo anayo yasema njia hizo ni tofauti kabisa kutokea Ruangwa huwezi kupita mnero mbavyo kuna barabara ya Nach Ruangwa kupitia Rupota nzuri kabisa
Mkuu huu ni ukweli niseme uongo kwa faida gani?
Silipwi wala sipati faida yoyote nitajie vijiji Njia ya Ruangwa kuanzia Ruangwa, Chinokole endelea------------->
 
Okoka tu ndugu yangu na hayo yote yataisha
Asante Mkuu, ila nikipata mda nitaelezea mkasa ulionipata Singida mwaka 2013 ni mambo ya kutisha na kusikitisha ambayo MTU unapaswa kuomba yasikukute
 
Mzee, hamna a way ya kuunga hii story yako yote ikawa moja? Maana nlisoma moja tu sielewi muendelezo! Kila nkifatilizia naona blue blue sielewi ya pili ipi ya nne ipi
Mkuu rudia tena, usome utaelewa
nikipata mda nitaelezea mkasa ulionipata Singida mwaka 2013 ni mambo ya kutisha na kusikitisha ambayo MTU unapaswa kuomba yasikukute
 
Jambo moja la msingi. Ulijiingiza katika himaya ya shetani bila kuwa na kinga ya damu ya Yesu. Duniani humu kuna makundi mawili ya watu, kundi la kwanza ni wale ambao wamemfanya Mungu kuwa tegemeo lao. Wamezingirwa na damu ya Yesu. siyo nusu nusu ati. Kundi la pili ni hao uliowakuta kwa mganga wakiwa uchi. Wamezingirwa na shetani ndo hao wanaopata mali kwa njia hizo za giza. Chagua hivi leo utakayemtumikia.
Asante Mkuu, ila nikipata mda nitaelezea mkasa ulionipata Singida mwaka 2013 ni mambo ya kutisha na kusikitisha ambayo MTU unapaswa kuomba yasikukute
 
Hicho kipand hapo ulipo shuka chini simba hawakukuona umecopy kweny biblia Daniel kule pangoni..
Sija copy Mkuu, ni ukweli nikipata mda nitaelezea mkasa ulionipata Singida mwaka 2013 ni mambo ya kutisha na kusikitisha ambayo MTU unapaswa kuomba yasikukute
 
Pole sana kwa mateso. Umehangaika sana. Shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake. La sivyouflme wake utakuwa umefitinika.

Ninakushauri uende kwa watumishi wa Mungu aliowapa karama. Siyo watu wa dini. WAtu wa dini ni waharibifu. Nenda kwa atu wa Mungu utapata uzima. Watakukabidhi kwa Mungu, watakuombea lakini pia watakuongoza kumjua Mungu, na utafundishwa jinsi ya kujisimamia mwenyewe.

Ni afadhali kutumia muda katika nyumba ya Mungu,kuutafuta uwepo wa Mungu, na kudumu kwa Mungu mwenye hata mbingu za kuwaweka wale walalao katika Yesu, kuliko kupoteza muda na nguvu kwa waganga na watumishi wa shetani na mwisho wa siku unakufa kifo kisicho na tumaini.

Mungu akujalie neema ya kuamua sahihi.
Asante Mkuu, ila nikipata mda nitaelezea mkasa ulionipata Singida mwaka 2013 ni mambo ya kutisha na kusikitisha ambayo MTU unapaswa kuomba yasikukute
 
Back
Top Bottom