Nilichungulia kuzimu mashetani, Dunia ina mengi ya kutisha sana.

Hii ni stori ya kutunga kabisaa100%, tangu lini mwekezaji akaanza kukamata kuku porini bila kujua ni kuku wa nani? Ina maana wewe mwizi?. Yaani hapo kwenye kukamata kuku ndio umeharibu stori yote na kuonekana kuwa ni hadithi za shigongo
Kwanza cha kushangaza zaidi mwekezaji asie na vibali vya pikipiki
 
AKANIAMBIA NIINAME ANIPIME MAKALIO (ANIINGIZE VIDOLE MKUNDUNI) AONE UREFU WAKE.

Nilivua nguo zote nikamsogelea Mganga akaanza kuniminya makalio akiyapanua panua na kunipigisha Usinga ndani ya matako Alikoroma na kuniambia umechafuka kanawe Maji pale akinielekeza kwa kidole, ili uludi nikushughulikie uwahi kuondoka utaenda kuwa tajiri mkubwa mwunye heshima.

Ni kweli nilichafuka maana nilijisaidia haja kubwa polini nikajisafisha na majani kwa hiyo lazima vipande vya mavi vilibakia huko ndio maana alitaka nijisafi alitaka Anifire.

Sikukubaliana na anacho kitaka maana mbele yangu nilishuhudia Mkandarasi mmoja wa masasi (jina kapuni) Akifirwa sikuwa tayali kufirwa nilijiona mjinga sana kufika pale .

Maeneo Yale watu wapo uchi wanawake kwa wanaume hawaogopi chochote ni polini ndani ya hifadhi seloue lakini kama hauna nia yakuonana na Mganga unakuta ni poli tuu msitu mkubwa hakuna mtandao wa simu ni ndani ya poli msitu mkubwa.

Niliamua kuvaa nguo zangu ili niondoke kwa ushetani niliouona nilimlaumu rafiki yangu kunielekeza sehemu kama ile na nilijilaumu sana.

Nilimaliza kuvaa na nikaanza, kuondoka kuelekea nilikoacha pikipiki ktk msitu Mkubwa wa kutisha pikipiki ilikuwa umbali takribani kilometa mbili na nusu mpaka tatu!

Nilivuka kijito cha Maji na kuupanda mlima mkubwa wenye msitu wa kutisha niliangalia kushoto na kulia ni msitu mnene wa kutisha nilitembea umbali Mrefu nilihisi kupotea na sina msaada pia sikumbuki nilikotokea.

Nilijipa moyo na kusonga mbele nikabanwa na mkojo nikafungua zipu ya suruali kukojoa nikamaliza nikafungua zipu nikainua macho mbele !!!!/////!!!//////////////
LA HAULAAAAAA MBELE YANGU KUNA SIMBA NIKAGGEUKA NYUMA SIMBA KULIA SIMBA KUSHOTO SIMBA NIKAOGOPA SANAA.

Karibu yangu ulikuwepo mti mkubwa nikaanza kupanda mpaka juu ya mti huko!!!!! Ghafla nikaona karibu yangu JOKA kubwa limevimbisha mashavu lipo tayali kuniuma!!!!! Linatoa ndimi

Niliamua kung'ang'ania kukumbatia tawi la mti nikaona heri nife kwa JOKA kuliko kutafunwa na Kundi kubwa la Simba......

... Nitaendelea nimepata dharula
 
AKANIAMBIA NIINAME ANIPIME MAKALIO (ANIINGIZE VIDOLE MKUNDUNI) AONE UREFU WAKE.

Nilivua nguo zote nikamsogelea Mganga akaanza kuniminya makalio akiyapanua panua na kunipigisha Usinga ndani ya matako Alikoroma na kuniambia umechafuka kanawe Maji pale akinielekeza kwa kidole, ili uludi nikushughulikie uwahi kuondoka utaenda kuwa tajiri mkubwa mwunye heshima.

Ni kweli nilichafuka maana nilijisaidia haja kubwa polini nikajisafisha na majani kwa hiyo lazima vipande vya mavi vilibakia huko ndio maana alitaka nijisafi alitaka Anifire.

Sikukubaliana na anacho kitaka maana mbele yangu nilishuhudia Mkandarasi mmoja wa masasi (jina kapuni) Aki***** sikuwa tayali ku***** nilijiona mjinga sana kufika pale .

We jamaa sikuamini kabisa hapo nisamehe tu kwa kusema hivyo..nauona uongo ndani yako
 
SEHEMU YA 5 INAENDELEA UZI NAMBA [HASHTAG]#243[/HASHTAG]
Pole sana Kaka sehemu inayo fata nitag

shigongo au kweli kaka!!

Ngoja twende mpaka mwisho tuone.

Si useme tuu ni story ya kubuni weww ingekuwa kweli hao kuku usingewabeba

Hamna kitu hapa!!

Story nzuri
Uni tag na mm
aisee inavutia kuisoma...

umeambiwa usiseme lakini

Aah!!! Nachukia mtu anaandikia story yake hapa badala ya kuiandika na ku-save then unaanza kui-upload!!!

Bongo movie au ni kweli?ulikataa kulala na wadada wawili ambao hawana kwa kulala,kwann au kitanda kilikua kidogo

Dah!Sjui ntajuaje kama jamaa anaendelea kusimulia??!!
N'way,nitag kama hutajal

Huu ni uongo 100%....hakuna hata la moja...hopeless

Yule mwenye Dar yake Series yake iliishia season tu,Sasa sijui hii itaishia ngapii?

Ngoja niongeze views huwenda akapata nguvu ya kuendeleza

Tembea uone ,kidogo ifanane na kisa changu katika msitu wa muzani wanakochimba dhahabu 2007

Nasubiria muendelezo.

Duh hii noma

Andika kitabu

Hakuna kitu,shigongo at work

Kuwa na subira, Yavuta kheri Mkuu

mkuu nawewe ungetupia kisa chako hicho tuburudike

Hisia zinaniambia hii ni hadithi na si kitu cha kweli

Usihofu nitatupia

Mbona sioni muendelezo

Ukirudi unikumbushe

Acha zako wewe, ingekuwa ni kweli ulisemeshwa na mzee mwenye kaniki usingekumbuka ulikuwa na pikipiki

Sasa mbona uliwanyima riziki wale wadada wawili?!

eti jamani!

Hii ni stori ya kutunga kabisaa100%, tangu lini mwekezaji akaanza kukamata kuku porini bila kujua ni kuku wa nani? Ina maana wewe mwizi?. Yaani hapo kwenye kukamata kuku ndio umeharibu stori yote na kuonekana kuwa ni hadithi za shigongo

pole kwa hayo

Upo wapi njoo umalizie sasa

Naisuburia mkuu

Ukiendelea naomba UniTag mkuu

Ila una moyo Wa chuma Chupi 2 za bure umechomoa....

Uliposema liwale nikashtuka kidogo

Tulia wewe, ukitaka hadithi za kweli kasome quraan.

Nitag ukiendelea

STORY YA KWELI! DAR ULITOKAJE MPAKA LINDI bila vibari katika honda yako

Hii haina tofauti na story ya alfu lela u lela

mi sijawahi kuona pikipiki cc 400 unaweza weka picha ya hiyo pikipiki niione maana ka story kamenoga ila ka picha hakuna kaweke nione mkuu

Unitag na mm ukiendelea hta kma ni shigongo ila inavutia kiasi chake!!!

Acha kuharibu sifa ya kwao waziri mkuu

Mashuka alinunua yeye

Next time ukienda tena huko nistue twende wote.

Nasubiria usijal tuko pamoja

diiiih daaah hayo mauzauza yanatokea hata huondoki huko yaani kama umewekwa gundi mkuu

Hya twende

we ni zaid ya shigongo aiseee

Kumbukeni sisi ni binadamu na mikasa yote huwatokea wanadamu, hata kama waona haiwezi kutokea ni kwasababu ya mazingira uliyokulia na uwelewa wako wa mambo mbalimbali ulimwenguni.
Mkuu endelea na simulizi yako atakayeamini na amini na asiyeamini abakie hivyo hivyo ila wajue kuwa ulimwengu wa roho ni mpana kuliko ulimwengu huu wa nyama na umepewa uwezo wa kujidhihilisha katika ulimwengu wa nyama.

Nami msinisahau,Maana Kuna Vutia

Nasubiri sehemu ya tatu

Usinisahau na mimi mkuu

Acha usanii.

Uongo nao kipaji

Ulikua ata huwezi kutamka jina la Yesu au ndo wachawi walikufunga

Hivi vitu nisome tu hivi na kuhadithiwa.....siombi nikutane nayo.

Ingekuwaje kama angetamka mkuu.

Imebidi ni subscribe huu uzi, part 3 saa ngap

Hayo makitu yangepotea kwa jina la Yesu

Dunia ina mambo

Nishapata pa kupunguzia msongo wa mawazo wa Bashite na ajira

Mkuu njoo uendeleze story naisubiri kwa hamu sana

Mkuu, shukran kwa simulizi yako ya kusisimua,

Plz naomba kila ukiweka episode mpya. Basi nakili hiyo LINK YAKE na uiweke pale kwenye post #1

Naomba unitag mkuu kila ukiwa epsod mpya

Episode #3 mkuu.

Endelea na story yako umenikumbusha mbali kipindi nimeenda kusini si kulala yani

Heshima kwako mkuu

Lete mwendelezo tupunguze stress ya 15% ya bodi

Mkuu na mimi ni tagg ukiendelea

Kilikutokea nini hebu tusimulie kidogo

mkuu mbona umepotea hebu rudi umalizie

Mhh hapo kwenye nyoka na panya kuna ukwl mhhhh nahis ni story ya kutunga ila nzr...

Pikipiki haiishi mafuta.

Pamoja na pikipiki kutokuwa na vibali

Naona katupiwa mshale mwingine huu sasa umemaliza mazima

Duh shida

Tatizo mwendelezo ni baada ya miezi.mpaka inakosa maana

Wewe kweli story teller mzuri! Hata kama ya kutunga lakini very interesting story, yaani kama una angalia movie!

bro naomba unitag tupate mwendelezo

hahaha...! ndo utaelewa kuwa ni fix

Wachawi wapo katika kila mkoa wa hapa Tanzania.....ila Kigoma, Tabora, Rukwa, Katavi, Mbeya, na Iringa ni nomaaa.

nasubr bado haijaendelea

Leta ushahid

Daaah mkuu usiache.

Ikiendelea mkuu unitag

Ni tag pia

T

tusimulie mkuu tuvute Muda kumsubiri huyu mkuu..

Aisee, hata kama ni hadithi or real life event, Dunia ni uwanja wa fujo na mwanaume ni kupambana. mwaka 1995 niliwahi fanya kazi kwenye mashirika ya wakimbizi kigoma. Nilipanga nyumba moja hivi, kila nikirudi jioni nyumbani nakutana na nyoka ndani...sometime bafuni! ikanipa hofu sana. baadae nikahama nyumba na kuhamia hotelini. kuna mwenzangu yeye naye alikuwa anakutana na mauza uza kama hayo...ikabidi aache kazi...na kurudi kwao shinyanga. bahati mbaya hakukaa hata mwezi...akafariki. Though ukimwamini Mungu, huwa anakuepusha na mambo mengi...

Nitag mkuu ukiendelea

You think what i'm thinking!

Nimecheka hapo ulipomuuluza jamaa eti 'kuku ni wako?

Nenda huko utaona.

Shigongo junior kapotelea wapi!?

Daah mkuu story ni mzuri ila umenipa wacwac hivi haya mambo kweli yapo?naona kama unanikatisha tamaa na mipango yangu ya kutaka kwenda kulima mikoa hio ya kusini,ikiwa ww umefanyiwa hivyo je cc wengine itakuwaje?na maeneo yenyewe ya kilimo ndo hayo uliyoyataja, daah uwoga umeshaniingia wajameni.

nimecheka panya anakojoa lita moja moja

Hakuna haja ya kuogopa MAPEPO Kama wafungwa katika minyororo, mamilioni ya watu wamefungwa na ushirikina na hofu ya roho wabaya. Wao huamini hirizi na uchawi kujilinda. Hakuna haja ya wewe kufanya hivyo. Biblia inatoa uhakika huu wenye kufariji: "Macho ya Bwana hukimbia-kimbia duniani kote ili aonyeshe nguvu zake kwa ajili ya wale ambao mioyo yao uelekea kwake" (2 Mambo ya Nyakati 16: 9)

Mungu wa kweli, Yehova, ambaye ni mwenye nguvu zaidi kuliko Shetani, atatulinda kama utakuwa na imani katika yeye. Kupata ulinzi wa Yehova, unahitaji kujifunza yale yanayompendeza yaye na kisha kufanya hivyo. Kwa mfano, katika karne ya kwanza, Wakristo katika jiji la Efeso walikusaywa vitabu vyao vyote vya uchawi na kuviteketeza. (Matendo 19:19, 20)
Vilevile, ili upate ulinzi wa Mungu, ni lazima kuondokana na hirizi, vitu vinavyo husiana na uchawi, vitabu vya uchawi, "kinga" masharti, na kitu kingine chochote kinacho shikamana na mazoea ya kishetani au uchawi.
Biblia inasema katika Yakobo 4: 7 "Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia."
Kama tukiwa watiifu kwa Mungu Jehovah kwa kutii na kumtumikia, tutakuwa na uhakika kwamba Shetani na mapepo hawato weza kuwa na uwezo juu yetu.

Akikutag lazima ukojolewe na panya....ww fata mkumbo!

nanganga moja

Mkuu kuwa unanitag kupata uhondo.

impongo hebu tuonyeshe kwanza jeraha la ncale begani ndiyo tuendelee. Maana haiingii akilini mtu umetoka dar mpaka kusini na pikipiki isiyo na vibali, then baadaye ndiyo uanze kuwakimbia polisi wakati ungeweza kuzungumza nao tu kama wewe ni raiya mwema. Kikawaida ukiwakimbia, tena kwa mwendo wa kuanza kugeuza pikipiki lazima watakukomalia mpaka wakudake, maana kwa ukubwa wa pikipiki ni dalili za kuwa mhalifu!

hahahaha....ila inaburudisha

acha ushamba zipo mpk cc 1,000

Duh! Hao wachawi wabaya sana itakuwa waligundua jamaa anasimulia huku wakaamua kumteka kabisa

Kaz kweli kweli

ulitokewa na nini mkuu

Ni tag mkuu

hahahahaha funny story

pikipiki yako haina vibali umetoka Dar hadi lindi huko njiani hamna polisi adi ukawakute huko kijijini

Una uwezo wa kuaford Honda cc400 ila kulipia huwezi Na bado unanjaa ya kuvizia kuku porini

ulitaka ukawapike gesti

hata hao wadada uliokataa kulala nao nina wasiwasi sio mzima

Intelligence tumefika huku duu

Intelligence tumefika huku duu

Interesting...nitag pls

Tunaisubiri mkuu

Mkuu usinisahau kwenye tag list

Haki ya Mungu story ya uongo ila kalii

Aseee huu uzi ni hatari kuna sehem mwanzoni huko nime kutana na Candyscorpion yeye alisha kua mfuatiliaj mwema wa muvie hiii

Na kwa sasa uko hai au umekufa?

Nina wasi wasi huyu jamaa atakuwa amepotea porini maana siku ya ya tatu no updates

Mbona story teller umepotea?

Nahisi nimeanza kuchoka kusubiria muendelezo

Story ilikua haijakamilika, subrini akamilishe

Story haileti njaa

duuu umekufa mkuu???

Kwa kweli Mungu ni wa ajabu, kwa aliyonitendea nitamsifu na kumtukuza daima. Kweli MUNGU si mwanadamu kunguru2016

Alafu si uliambiwa na mzee aliyevaa kaniki usiseme kitu chochote mbona sasa umetuambia..sema ya kutunga mkuu

Huyu jama yupowapi aisee

Hatariii walimwambie asiseme akasema
sasa wamemchua wenyewe akasemee kuzimu maana amevunja masharti

Tumegulie kidogo mkuu.

Ww unatania mkuu

Nakupata sana mkuu.... inabidi utoe kitabu kabisa

Weekend leo endelea kuandika, jaribu tu

sasa huu muda wa kujibu jibu watu si ungeutumia kuandika story kuliko kureply watu mpaka SAA saba usiku

Nitag sehem ya 2&3...pls

Karibu sana nyumbani Mufindi mkuu

Siyo mbaya we tiririka tu

mkuu utanitag ukiiiendeleza,maana nmevutiwa nayo sana

Mkulu utanitag ni dadavue masahibu yaliokufika impongo ...

Pole sana bro ila tatizo muendelezo unachukua siku nyingi sana kuupata.

Natania nn sasa hujui jina la YESU lilivo na nguvu

dah! kiukweli muvi nzur!na mm nitag next time!

Tupia man itupie.

Sasa umeambiwa usiseme sasa umesema itakuwaje

Uko ulikopita kote hakuna mashamba ya ufuta upande huo

Alichoniudhi mwandishi ni kitendo cha kukataa kuwasaidia wale warembo wawili kule gest.dah umenisikitisha sana na umenifedhehesha sana.

Huyu jamaa mizinguo, yani stori inapita hata wiki mbili ndo analeta episode nyingine na unakuta yupo tu anachangia hoja. Hata Kama story ni yake na anatupa bure sio ndo anyanyase namna hii

Wajinga Ndiyo Waliwao.

Itaishia kanisani au kwa mchungaji.

Brooo hii story yako ni tamu, thou ina madhaifu kidogo.

Hebu vuta picha reaction ya mtu baada ya kuona panya kageuka joka kubwa, JE NI KWELI ATABAKI KULISHANGAAA?? wakati wenzie wakiwa wamekimbia nje??.

Reaction ya watu waliokimbia joka kubwa. Watakaaa mlangoni nje ya mlango? Badala kwenda mbali kukimbiza uhai wao??

Kwenye situation ya taharuki , ya hatari ambayo mtu angeweza poteza maisha kweli wanawake wanaweza leta UTANI WA KIMAPENZI? KUSIFIA UUME?? TENA MBELE YA MZEE WA KIMILA (ambaye ni miongoni mwa wa watu wanaoheshimika sana vijijini)....

Hapa nimeangalia epsode ya mwisho tu, ila yote kwa yote. Bravoooo, tupe story.

Endelea jamaniii

mkuu nitumie link ya kuanzia episode ya pili mie hii jf desktop style inanitesa sioni kitu

Gud
Nimeisoma, nimeona majina ya sehem unayo tumia ni halisi.

Ila ilipo ishia hapo ni shda, pamoja sana

Urefu wa makalio unapimwaje...

Kaka bdo naifuatilia

217 uzi mfupi sana, ungerefusha kidogo.

Yani mkuu umekaA wiki mbili karibu na nusu halafu mwendelezo paragraph nne duuuuh

Kwahiyo tusubiri tena mpaka mwezi wa nne katikati?

Nahisi mganga anataka kumla 0713

Jamaa katekwa na shigongo nini

Kwanza cha kushangaza zaidi mwekezaji asie na vibali vya pikipiki

Shigo story
 
AKANIAMBIA NIINAME ANIPIME MAKALIO (ANIINGIZE VIDOLE MKUNDUNI) AONE UREFU WAKE.

Nilivua nguo zote nikamsogelea Mganga akaanza kuniminya makalio akiyapanua panua na kunipigisha Usinga ndani ya matako Alikoroma na kuniambia umechafuka kanawe Maji pale akinielekeza kwa kidole, ili uludi nikushughulikie uwahi kuondoka utaenda kuwa tajiri mkubwa mwunye heshima.

Ni kweli nilichafuka maana nilijisaidia haja kubwa polini nikajisafisha na majani kwa hiyo lazima vipande vya mavi vilibakia huko ndio maana alitaka nijisafi alitaka Anifire.

Sikukubaliana na anacho kitaka maana mbele yangu nilishuhudia Mkandarasi mmoja wa masasi (jina kapuni) Aki***** sikuwa tayali ku***** nilijiona mjinga sana kufika pale .

Maeneo Yale watu wapo uchi wanawake kwa wanaume hawaogopi chochote ni polini ndani ya hifadhi seloue lakini kama hauna nia yakuonana na Mganga unakuta ni poli tuu msitu mkubwa hakuna mtandao wa simu ni ndani ya poli msitu mkubwa.

Niliamua kuvaa nguo zangu ili niondoke kwa ushetani niliouona nilimlaumu rafiki yangu kunielekeza sehemu kama ile na nilijilaumu sana.

Nilimaliza kuvaa na nikaanza, kuondoka kuelekea nilikoacha pikipiki ktk msitu Mkubwa wa kutisha pikipiki ilikuwa umbali takribani kilometa mbili na nusu mpaka tatu!

Nilivuka kijito cha Maji na kuupanda mlima mkubwa wenye msitu wa kutisha niliangalia kushoto na kulia ni msitu mnene wa kutisha nilitembea umbali Mrefu nilihisi kupotea na sina msaada pia sikumbuki nilikotokea.

Nilijipa moyo na kusonga mbele nikabanwa na mkojo nikafungua zipu ya suruali kukojoa nikamaliza nikafungua zipu nikainua macho mbele !!!!/////!!!//////////////
LA HAULAAAAAA MBELE YANGU KUNA SIMBA NIKAGGEUKA NYUMA SIMBA KULIA SIMBA KUSHOTO SIMBA NIKAOGOPA SANAA.

Karibu yangu ulikuwepo mti mkubwa nikaanza kupanda mpaka juu ya mti huko!!!!! Ghafla nikaona karibu yangu JOKA kubwa limevimbisha mashavu lipo tayali kuniuma!!!!! Linatoa ndimi

Niliamua kung'ang'ania kukumbatia tawi la mti nikaona heri nife kwa JOKA kuliko kutafunwa na Kundi kubwa la Simba......

... Nitaendelea nimepata dharula

Hahahahahahaha,nilikuwa ntaka kuweka vimoj sema kifaa ninachotumia vimepotea.....

Ila u made ma usiku!!!!! Lol!!!!! Uku unkoelekea sina imani kabisa ..
 
We jamaa sikuamini kabisa hapo nisamehe tu kwa kusema hivyo..nauona uongo ndani yako
Ep yake ya kwanza na ya pili kama nlikua sina uhakika kumwamini au la. Lakini hiyo ya nne mwanzo tu unadhihirisha ni xtory. . . .
Kama kuna mtu bado anaamini duh...!!!

Uandishi na utunzi wa episode ya 4 umeshuka kiwango, hadi kuonekana ni uongo mtupu.. . . . maana nimejaribu ku imagine kama nikaona picha ya movie za kibongo. . kabisa. ..
Bora hapo mwanzo ilikua inakuja kama realistic tale. . .

But kama ni script kuanzia nne ameharibu hadi inaonekana ni xtory ya kutunga dhahiri
 
SEHEMU YA NNE.

Nilipofika mafinga mafinga nilienda katika mtaa wa pipeline ambako tayali nilikuwa nimepanga Nyumba nilipokelewa na kijana wangu wa kazi na nilijipumuzisha kwa ajiri ya uchovu wa safari nilishitushwa na alarm niliyoitega kila alfajiri SAA 11 nikaamka nikihisi njaa Kali.
Nilimuamusha kijana wangu wa kazi anichemshie walau chai ninywe na mkate kabla ya safari ya kuelekea Mufindi (mgololo) maana njaa iliuma sana.

Niliiangalia pikipiki yangu aina ya Sanrag cc125 toleo la mwanzo nikaona IPO salama nikawasha ikawaka,,,,,,,,,,,,, Mzee karibu chai nirikaribishwa nikawahi mezani nikanywa chai haraka nilivaa jacket 2 Nzito kuhimili baridi kali kulikucha tayali, nikatoa pikipiki inje safari ya kuelekea petrol station kujaza mafuta ili niianze safari ya takribani km 50 mafinga to mgololo.

Nilianza safari na mshirika wangu aliye kuwa ameniunganisha katika biashara hiyo ya kununua Misitu ya Miti ya mbao line (pine) na Mbao Ngum (carptus-karitus) katika Shamba la miti ya utafiti (TAFOR) Tanzania Forest Reseach lilipo eneo la KITASENGWA MGOLOLO MUFINDI tulifika site SAA 4:00 kamili asubuhi na kukuta kazi inaendelea vizuri ila kuna changamoto ya pesa maana wamemaliza kazi wanahitaji malipo yao nilikaa site hadi jioni saa 12:45 nilimpigia sim mshirika wangu ili tuondoke nikatafte pesa ya vibarua akanijibu yeye tayali yupo mafinga ameogopa baridi kwenye pikipiki amepanda Gari (Maana kipindi hicho kulikuwa na baridi kari sana ya ukungu wenyeji wanaita NYAHENGE)

BALAA LINGINE

Kwa kuwa Giza Lilianza kutanda niliwasha pikipiki nakuanza safari kuludi mafinga nilipanda mlima wa kwanza nikauanza mlima wa pili ambao ni mkubwa kuliko mlima Kitonga nikiwa naelekea kuumaliza mlima ghafla pikipiki ikazima nikapaki pembeni nikajisaidia haja ndogo.

Nikajaribu kupiga kiki hakuna kuwa ka mafuta tank ipo ¾ ni mengi sana nikiwa naendelea kuwa za GHAFLA kwa mbali nikaona Gari inakuja ikitokea nitokapo!

Ilipo nikaribia ilikuwa ni muungurumo wa Gari ndogo nikasimamisha ikasimama nikasalimia habari!
Nzuri nilijibiwa!
Jamani naomba msaada Pkpk yangu imezima niipakie mpaka mafinga !
Una hela ngapi nikaulizwa ?
Nami nikauliza ww unataka ngapi ?
To a elf 5 tupakie nikasema sawa ila naomba mmoja wapo ashuke anisaidie niliongea kuelekea kugeuza pikipiki ili ikaribie karibu na Gari !
Ghafla KUGEUKA sioni Gari tena sauti za maajabu zikaanza kunicheka sana na kunisonya mbele na nyuma zikaendelea kusikika!
Sikuogopa ghafla mwili mzima nikapakazwa kinyesi cha binadamu bila kujua nani anafanya?

Nikapga kiki tena pikipiki ikawaka nikaanza safari na sehemu hiyo ni poli hakuna makazi ya watu kabla ninavyosonga ndio napakazwa na kuchekwa sana.

Yapata SAA NNE usiku nilifika katika shamba la majani ya chai lililopo karibu na barabara na ilikuwa karibu na makazi ya watu kijjji cha Sawala kwa mbele niliona watu wakisukuma baiskeri nilisimama na kuwasemesha jamani za sahizi, ?
Walijibu nzuri tukusaidie nn?
Hivi kwa NICO ni sehemu gani nataka nikalale kwake maana nina matatizo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Ghafla watu wote wakageuka,,,,,, fisi nikakimbia na kuongeza kasi nikadhamiria kufika mafinga na SAA 6:50 tayali nilifika mafinga nilipopanga pipeline, harufu yangu ilikuwa niliingia bafuni na kuoga na nguo Nikazitoa inje kwa harufu mbaya na Kali,.

Asubuhi nilimuita mshirika wangu nikamwambia yaliyo nikuta akanizhauri haya ni madogo tu atanielekeza kwa MtAalamu huko NGENDE Lindi Liware nijisafishe mikosi nilikubali.

Tulienda benki nikampa pesa inayotakiwa apeleke site ili nami nisafiri hadi dar na Liware nilimkabidhi pesa zinazohitajika site

Nisafiri na Gari ndogo aina ya Nissan xtailer SAA 9:17 nilifika DSM

SAA 9:49 nilianza safari kwenda ngende kujisafisha mikosi na mabalaa SAA 1:56 nilikuwa Beria nangurukuru nilipita Njinjo na SAA 4:07 nilifika Liware nikatafta guest nikalala.

Niliamka SAA 2:39 asubuhi nikampigia mshiriki wangu wa mafinga anielekeze ili niingie msitu wa mizimu NGENDE SAA 6:00 niliingia msitu mnene maarufu NGENDE

Cha kunishanga,za mtu. mmoja ndiye anashughulikia watu wengi sura YAKE tu moja

NikaambiwA nivue nguo Zote hadi chupi mbele za watu. Nikavua nguo Zote nikabaki utupu MGANGA AKANIAMBIA NIINAMME ANIPIME Makalio AONE UREFU WAKE!!!!!!!!!!!!!!!!! NIKIPATA MUDA NITAMALIZIA.
MKUU utuambie na gharama ulizotumia huko ngende
 
Back
Top Bottom