Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Aaargh.... Acha tukose wote. Mi sina tatizo. Atapata mtu mwingine wa kumgharamikia kuvununua. Ananipigia simu sana akitaka nimsamehe nirudiane naye amekosa.

Anatuma texts kila baada ya muda mfupi.... Wenzake wananitafuta wakisema niwe nao.....yaani mwenzake ananambia bila woga....shem njoo basi nikupunguze hasira na mawazo....sina hamu nao kabisa....
Hiyo ni kawaida ya Prostitute women, pole mjini shule.
 
Mkuu pole sana.
Kuna jamaa kwenye uzi fulani aligusia kidogo kuwa watu wa tabora wamemtenda vibaya japo hakuweka wazi wamemfanya nini,sasa nilivyouona huu uzi nikajua ni yule jamaa kumbe sio wewe.
Kiufupi watu wa Tabora ndio wapo hivyo mkuu walishawahi kunitenda pia.

Ni watu wa tamaa sana na kupenda mteremko hii huwafanya kuangukia kwenye utapeli.
Na ubaya wa watu wa tabora wamekaa kinafki yaani muonekano wao na mambo wanayoyafanya ni tofauti kabisa,hii inakufanya ushindwe kutofautisha nani ni malaya na nani ni tapeli hadi ukishapigwa ndio utashtuka.
Ni mimi mkuu, hao sio watu
 
yes nimekukumbuka mkuu japo hukuweka wazi wamekufanyaje tunaweza kushauriana humu mkuu
itaonekana naleta ukabila lakini nikirejea tabia za watu wengi wa huko, jumlisha alichotendwa mleta mada na lile langu

Mungu anawaona
 
Asa hapo ngambo inaingiaje hapo? We title si ungeandika "demu wa kiarabu alichonifanya sintarudia tena"
 
Ha ha ha ha ha ha, tuliosoma Tabora Boys huo mtaa umetukuza. Weka mbali na watoto kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom