Nilichoongea na mfanyakazi wa hlssf kwenye simu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilichoongea na mfanyakazi wa hlssf kwenye simu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Sep 27, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mimi:habari yako mkuu?
  Yeye:salama tu,naweza kukusaidia?
  Mimi:ndio mkuu,nilikua nataka kujua utaratbu wa utoaji wa majina ya waliopata mikopo kwenye NGO yenu yatatoka lini?
  Yeye:anytime from today.
  Mimi:mbona kuna tetesi kwamba nyie ni matapeli mnaotaka kutapeli tu wanafunzi?
  Yeye:akahamaki{sikia kijana,hii nchi haitaendelea kwa kusikiliza majungu mbalimbali yanayosemwa kwenye mitandao ya kijamii kama jamii forum na facebook,sisi tumeanzisha kitu kizuri kwa ajili ya kusaidia au kupunguza ukali wa maisha miongoni mwa vijana wengi wa liochaguliwa vyuo vikuu hapa nchini,lakini watu wachache wasiojua nini umuhmu wetu ndio wanaeneza sumu kwenye mitandao ya kijamii,kijana nakushauri nawe utoe elimu kwa vijana wenzio kuhusu umuhmu wetu}
  mimi:lakini lisemwalo lipo mkuu,si unakumbuka lile sakata la DECI,kwa hyo watu wengi wanaogopa kuingzwa mkenge,mnaonaje mkijitangaza zaidi ili watu wawe na imani nanyi?
  Yeye:kama kujitangaza,tuliisha jitangaza sana kwenye vyombo vya habari{tv na magazeti,akaniambia niende library nikatafute magazeti ya daily news na nipashe ya mwezi may mwaka huu}
  mimi:lakini hata website yenu haina updates ya k2 chochote,kwamba hata kutoa taarifa ya nini knaendelea hamjafanya hvo,hamuoni kama hapo mnazidi kuwatia hofu watu washndwe kuwaamin?
  Yeye:kijana,kwanza kumiliki website inayojiendesha yenyewe ni ushahidi tosha,alafu hatuwezi toa kila hatua tuliofikia kwenye web yetu,akaniulza swali{kwan heslb huwa wanatoa taarifa ya kila hatua wanayokua wamefkia kwenye web yao?}
  mimi:mbona watu wanasema hata ofic zenu hazieleweki eleweki,yani hazijakaa kama ofic ambazo kweli znahusika na utoaji wa mikopo?
  Yeye:kijana,wewe unaangalia quality ya ofic au huduma itolewayo,ingekua ndo hvo hata ofic za Heslb nazo basi hazieleweki,maana nazo zimechoka?
  Mimi:sasa braza,unanipa neno gani ambalo hata nikisema nataka kumshawishi atume maombi yake kwenu aweze kuwa na imani?
  Yeye:waambie hao wenzio wenye imani haba,sisi tumejitolea kusaidia jamii ya kitanzania,na wala sio matapeli kama inavosemwa na hao watu huko kwenye mitandao ya kijamii,sisi tuko seriouz na tunachokifanya,mwenye imani na sisi atume maombi yake nasi tutayashughulikia,na mpaka sasa tayari 2mekwisha kushughulikia maombi kutoka kwa wanafunz wawaliochaguliwa vyuo kama udsm,mzumbe,udom,saut,st john,ifm nk na majina yao tutayaweka kwenye web yetu wkt wowote kuanzia sasa!
  Mimi:swali la nyongeza,hvi Ngo yenu inatambulika serikalini?
  Yeye:nenda hata ikulu wanaijua vzr,kwani imesajiliwa na inafanya kazi kihalali.
  Mimi:asante sana kwa ushirikiano wako kaka.
  Yeye:karibu sana.
   
 2. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  duuh mungu awatangulie walioapply wasiingizwe mujini
   
 3. w

  wakuvuma Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wapo sure gtausaidia sana sisi
   
 4. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  inapendeza sana
   
 5. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Msaada tutani,vpi mwsho wa kuapply ni lini?
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  tarehe 31/oct,ambapo watatoa majina ya awamu ya pili!
   
 7. G

  Ginner JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  safi sana mdau.maswali mazuri lakini majibu yamekuwa mepesi mno. nahic ungemuuliza kwanini mkurugenzi anaonekana jmosi tu pekee angekujibu kuwa mkurugenzi katikati ya week anakuwa amekwenda dukani kwake..
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu,hilo swali ckua nalijua.
   
 9. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni kukosa imani na si vinginevyo
   
 10. skendo

  skendo JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbona kama huu uzi wameanzisha wenyewe vile.
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hapana man,hata we unaweza kuwachek kwenye 0717488745.
   
 12. Q

  Q700 Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu,tunashukuru kwa update izo! Please,naomba uniwekee no. Yako,,nikutafute,unisaidie detail za iyo ngo,coz nina tatizo la mkopo pia..plz fanya ivo mkuu
   
Loading...