Nilichokisikia kwenye Press ya leo pale Ufipa nimekata tamaa sana

Haya mambo h
Kutwa kucha kutafuta huruma ya watanzania.Na kamwe hamtaipata kwa staili hii.Mnathubutu kuwaita wazee wale ni wahuni,kwa nini mumekubali kuingia kwenye uchaguzi unaoongozwa na wahuni ?
Haya mambo hayakuwepo hapo nyuma ujue mkuu
 
Mabomu kama yale ya mahembe jamaa aliyotumia kutekea ndege miaka ile?

Viva Magu 2020 to 2030
Mkiona watu wanajivika Mabomu msidhani ni wajinga ni kwa sababu ya mambo kama haya, wale wanao vaa mabomu si wajinga, si kwamba hawataki kuishi, ila ndo huwa optional pekee ilio salia,
 
Kutwa kucha kutafuta huruma ya watanzania.Na kamwe hamtaipata kwa staili hii.Mnathubutu kuwaita wazee wale ni wahuni,kwa nini mumekubali kuingia kwenye uchaguzi unaoongozwa na wahuni ?


90% ya wapare ni wapumbavu. Ndio maana ni masikini ukilinganisha na wachaga.

Mzew mmoja alinambia tena kada mkubwa wa CCM.

Sasa nasadiki
 
TUME ya kijecha Jecha na kihuni. Magufuli must go. Ni chanzo cha yote haya. Jiwe ni adui wa demokrasia na dikteta.
 
Yaani uwe mjinga mwenyewe ukose mtihani kisha utake haki?
Saidieni watu wenu kwenye mambo ya kisheria.
Mgombea mwenyewe kazarau wanasheria wa chadema akaamua kumuweka Robat Amsterdam badala ya kibatara, kwa hiyo mtajuta tu hakuna namna.
Ndo lile kundi pendwa la ccm, kujibishana na wewe ni kupoteza muda kama Robert tu huwezi kuiandika
 
Back
Top Bottom