SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,329
- 2,217
Hujanielewa pia nilicho mshauri mhusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanielewa pia nilicho mshauri mhusika
Uzi ufungwe uyo sokoni pengine ndo anaenda leo yani mtu upo masaki soko lako supermaket unakuja manzese sokoni au mabibo tena mchana hujui pilika za soko asubuh zipoje yani ushuru wa 300-500 kwa siku ni lazima, uwe unauza udongo au kitunguu ndani ya soko lazima ulipeUnajua kuwawanalipa sh.200kila siku kamaushuruwa soko, na hii ilikuwa zamanisiku hizisiajabu ni500sasa 200*365=75000, kwa wenye akili, hivi vitambulisho vilitakiwa vinunuliwe viishe
Sent using Jamii Forums mobile app
DaaahCCM na serikali yao iliyo madarakani ni ya hovyo sana.
Nakupa ushuhuda. Kuna dada huwa anauza mboga mboga kwenye beseni sokoni bei yake ni 300 shs. Amepanga chumba kimoja na ana mtoto wa miaka kama 5 hivi maskini hata shule hajamuanzisha. Kuna siku jioni alikua anawaza kesho yake atauzaje mboga hana shs 20 elfu ya hiyo ID maana deadline ilishafika.
Sent using my Nokia Torch
Ingekua kulipa 20k kwa fasta hivyo unavyowaza wewe ingekua kila mtanzania ana bima ya afya ya laki moja kuliko kuugua mara kwa mara na kulipa mathalani 10000
Oooooh my foot eti fungu moja 1000?are you gone mad???hizi biashara mama zetu na ndugu zetu wanazifanya sio kama unavyodhani......fungu moja hata uuzeje haliwezi kuleta 1000 acha uongo mkubwa huu ingekua hivi hawa wamama wangekua wanaongoza kwa kipato cha katiKAKA WEWE UNAONA WAUZA NYANYA WANAONEWA.UNAJUA FUNGU LA NYANYA MAPATO YAKE ?MAPATO YAKE HUYAJUI UNAMUONEA HURUMA KWA KUWA KAPANGA ARDHINI .KILA FUNGU LA NYANYA ANA FAIDA FUNGU MOJA LA sh1000 ANAPATA sh400 FAIDA .ANAUZA KWA SIKU MAFUNGU 20 x400=sh 8000 HIYO NI FAIDA TU ,SASA SERIKALI IMEMPA KITAMBULISHO KWA SH 20000/ KWA MWAKA ,MAANA YAKE IKIWA FAIDA ANAPATA sh 8000/KWA SIKU SERIKALI INACHUKUA KWA SIKU MOJA PESA YA KITAMBULISHO KWAKE NI SENT 55 UKIPIGA KWA MWAKA SIKU 365 =20000/sh sasa jamani sent 55 kwa siku ni kuonewa au nyinyi ndio mnaionea serikali
Hee!?Cha ajabu vinaitwa vitambulisho vya kukomboa watanzania maskini ILA usipokuwa nacho unakula bakora!!
Ukombozi gani huu?
Hako kafaida ndio alipie nako kodi,huduma za afya,matumizi ya ziada duh! Mayo weeeeKina mama wengi hawana mitaji wanakopa nyanya au kitunguu mfano ndoo moja wanauza wakishauza wanarudisha hela ya watu anapata hapo kafaida kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Motivational speakers wamekudanganya mkuu unajua losses kweli au?KAKA WEWE UNAONA WAUZA NYANYA WANAONEWA.UNAJUA FUNGU LA NYANYA MAPATO YAKE ?MAPATO YAKE HUYAJUI UNAMUONEA HURUMA KWA KUWA KAPANGA ARDHINI .KILA FUNGU LA NYANYA ANA FAIDA FUNGU MOJA LA sh1000 ANAPATA sh400 FAIDA .ANAUZA KWA SIKU MAFUNGU 20 x400=sh 8000 HIYO NI FAIDA TU ,SASA SERIKALI IMEMPA KITAMBULISHO KWA SH 20000/ KWA MWAKA ,MAANA YAKE IKIWA FAIDA ANAPATA sh 8000/KWA SIKU SERIKALI INACHUKUA KWA SIKU MOJA PESA YA KITAMBULISHO KWAKE NI SENT 55 UKIPIGA KWA MWAKA SIKU 365 =20000/sh sasa jamani sent 55 kwa siku ni kuonewa au nyinyi ndio mnaionea serikali
Ngoja nikwambie kitu. Ni kweli kwamba hiyo biashara ya vitambulisho katika halmashauri nyingi imedoda na hivyo vitambulisho vingi kubaki bila kuuzika. Hao wanaovitembeza uliowazungumzia watakuwa hawajajiongeza tu na wakiendelea kutojiongeza wakurugenzi wao watapoteza kazi maana watakuwa wanamuaibisha uncle na kumfanya ionekane "ubunifu" wake si lolote si chochote.Hapa nilipo wafanyakazi wote wa halmashauri wamepewa kila mtu vitambulisho kazaa auze haraka iwezekanavyo,sasa kuna wenzangu na mimi wanahaha hawajui hata wamuuzie nani,wanazunguka navyo kama wamachinga,
Maisha yanaenda kasi.
Never say never
Hahahahahahaha na haka Ka I'd kako kapya naona kama unajua hiviiHahaha mama ngoja nikupigie kwanza
Na huu mtego kweli humu ndani wametapakaa wasiojulikana tupuMtego...
Wewe mm Niko siku nyingi humu, hii ID mpya kwa kazi maalum hahaha
Yeah nilijua hilo sawa bhana tuchunguze tu.....ila mkinishika msinitese sanaWewe mm Niko siku nyingi humu, hii ID mpya kwa kazi maalum hahaha
Sio hivo .. mm Sio wasio julikana bhna, mm najulikana hata wewe unaijua.Yeah nilijua hilo sawa bhana tuchunguze tu.....ila mkinishika msinitese sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za mtanzania hizo mkuu! Yupo radhi ale kuku wa ef7 aje kujitibu kansa kwa mamilioni kuliko kununua kuku wa kienyeji ili awe na afya njemaUnajua kuwawanalipa sh.200kila siku kamaushuruwa soko, na hii ilikuwa zamanisiku hizisiajabu ni500sasa 200*365=75000, kwa wenye akili, hivi vitambulisho vilitakiwa vinunuliwe viishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,mambo ni mengi mkuu,na awamu hii wafanyakazi wa umma wamewekwa danger zone,kila muda wanawaza kupoteza kazi.Ngoja nikwambie kitu. Ni kweli kwamba hiyo biashara ya vitambulisho katika halmashauri nyingi imedoda na hivyo vitambulisho vingi kubaki bila kuuzika. Hao wanaovitembeza uliowazungumzia watakuwa hawajajiongeza tu na wakiendelea kutojiongeza wakurugenzi wao watapoteza kazi maana watakuwa wanamuaibisha uncle na kumfanya ionekane "ubunifu" wake si lolote si chochote.
Kwenye halmashauri zingine wanakojiongeza wanachokifanya ni kwa wakuu wote wa idara kugawana hivyo vitambulisho vyote vilivyokosa wanunuzi, kuandika dokezo la kuomba posho kwa ajili ya jambo fulani tofauti, kisha kila mkuu wa idara kutumia posho hiyo kulipia hivyo vitambulisho ili kuonekana kama vimenunuliwa na wafanyabiashara ndogo ndogo na hatimaye kutangazwa kwa sifa kwamba katika halmashauri fulani vitambulisho vyote vilivyopelekwa vimekwisha kwa kununuliwa na wafanyabiashara ndogo ndogo wakati si kweli! Hii yote ni kutaka umma uone kwamba aliyeleta wazo la vitambulisho hivyo alikuwa sawia.
Lakini pia kama halmashauri haina posho za kuwapa wakuu wa idara wengine wamekuwa wakilazimika kutumia pesa ya mifukoni mwao kuvinunua ili kuendelea kulinda nafasi zao za kazi, mishahara yao na marupurupu mengine yanayowaweka mjini.
MmmhSio hivo .. mm Sio wasio julikana bhna, mm najulikana hata wewe unaijua.
Nakupigia isiwe tabu
Mbna unaguna