Nilichokiona sokoni jana kuhusu vitambulisho vya ujasiriamali nilitamani kulia

kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,646
Points
2,000
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,646 2,000
We hebu waza kina mama wajane wanaouza nyanya au vitunguu au bamia au karoti za 200 au 300 sokoni wanalazimishwa kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali si uonevu tu huu?

Hili soko nimelificha tu ningetaja kabisa tatizo ni kuwa ukitaja badala ya kusaidiwa wale wamama wanaouza wanaweza kushughulikiwa mpaka wakajuta

Kibri gani kimewapata watawala nanukuu

"we mama muuza vitunguu kama hutakata kitambulisho cha ujasiriamali keshokutwa nisione ukikatiza hata kwenye geti la sokoni hatutaruhusu ufanye biashara"

Huyo mama alijibu kwa unyonge mno
"Jamani hivi vitunguu hata ndoo ndogo havifiki kwa siku nikiuza simalizi hata sadoline tatu nitatoa wapi hiyo elfu 20 ya kitambulisho vitunguu vyenyewe tunapanga hapa chini ili tubangaize"

"Mama hata useme nini hilo ni agizo na lazima utaratibu ufuatwe" wakaondoka (wapo sita) wakamfata mfanyabiashara mwingine

Nilihisi kutokwa jasho kwa hasira yaani hadi machozi yalitaka kunidondoka mmeshindwa kutafuta njia za kupata mapato huku tuna rasilimali nyingi badala yake mnakamua Wanawake wajane?

Hii ndo sera ya Magufuli?

Huo urais wa wanyonge uko wapi?

Nimeumia sana mtu anauza vitunguu 300 fungu na anauza amepanga ardhini juu ya mfuko wa salfet unamfukuza sokoni kisa ya 20000 na kitambulisho? Mlaaniwe mnaofanya dhuluma wote

Nimeumia mno
 
Amani Jr

Amani Jr

Senior Member
Joined
May 6, 2015
Messages
186
Points
250
Amani Jr

Amani Jr

Senior Member
Joined May 6, 2015
186 250
Mkuu acha dongo. Bure kabisa vipi? Magufuli kila siku anarudia maneno hayo na amegeuza ni wimbo, kwamba aliyelipia kitambulisho cha wajasirimali wadogo asilipe chochote hadi mwaka wa kitambulisho uishe.
Nashangaa watu kushadadia lawama ambazo hazipo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ushuru wa sokoni unasaidia mambo mengi sana ya kuendesha soko. Ikiwa hawalipi ushuru wa sokoni soko litajiendesha vipi? Ikiwemo u safi na kulipia tozo zingine za manispaa? Au ulikua ni wizi tu?
 
BinSalum7

BinSalum7

Member
Joined
Jan 26, 2019
Messages
88
Points
125
BinSalum7

BinSalum7

Member
Joined Jan 26, 2019
88 125
We hebu waza kina mama wajane wanaouza nyanya au vitunguu au bamia au karoti za 200 au 300 sokoni wanalazimishwa kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali si uonevu tu huu?

Hili soko nimelificha tu ningetaja kabisa tatizo ni kuwa ukitaja badala ya kusaidiwa wale wamama wanaouza wanaweza kushughulikiwa mpaka wakajuta

Kibri gani kimewapata watawala nanukuu

"we mama muuza vitunguu kama hutakata kitambulisho cha ujasiriamali keshokutwa nisione ukikatiza hata kwenye geti la sokoni hatutaruhusu ufanye biashara"

Huyo mama alijibu kwa unyonge mno
"Jamani hivi vitunguu hata ndoo ndogo havifiki kwa siku nikiuza simalizi hata sadoline tatu nitatoa wapi hiyo elfu 20 ya kitambulisho vitunguu vyenyewe tunapanga hapa chini ili tubangaize"

"Mama hata useme nini hilo ni agizo na lazima utaratibu ufuatwe" wakaondoka (wapo sita) wakamfata mfanyabiashara mwingine

Nilihisi kutokwa jasho kwa hasira yaani hadi machozi yalitaka kunidondoka mmeshindwa kutafuta njia za kupata mapato huku tuna rasilimali nyingi badala yake mnakamua Wanawake wajane?

Hii ndo sera ya Magufuli?

Huo urais wa wanyonge uko wapi?

Nimeumia sana mtu anauza vitunguu 300 fungu na anauza amepanga ardhini juu ya mfuko wa salfet unamfukuza sokoni kisa ya 20000 na kitambulisho? Mlaaniwe mnaofanya dhuluma wote

Nimeumia mno
Ila cha kushangaza kina mama hao hao unaozungumzia, kipind cha kampen wakipewa vitenge na kofia wanajisahau na kumpigia kura huyo huyo alietoa hayo maagizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIKUBIJI

KIKUBIJI

Member
Joined
Apr 29, 2017
Messages
98
Points
150
KIKUBIJI

KIKUBIJI

Member
Joined Apr 29, 2017
98 150
Acha wanyooshwe tu maana hao wakitoka hapo ndio Wa kwanza kumsifia jiwe,kaununua ndege,kajenga reli,sijui umeme Wa Stigler gorge ,n.k,ukiwaambia kuna watu wanaandamana kwa bei ya mkate tu kupanda wanakushangaa halafu Leo ndio waanze kulia lia yaani hapa mpaka wote tutaongea lugha moja,na akili ziwakae sawa,waache kusifia ujinga,na bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

kelvinzakar

Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
40
Points
95
K

kelvinzakar

Member
Joined Apr 4, 2019
40 95
Hiyo 20000 kwa mkupuo wataipata wapi??Ingekua hivyo kila mtanzania maisha yangekua simple

Mfano bima ya afya ya middle hosptal ni 50000 mpaka laki kwa mwaka ingekua ni simple hivyo kila mtanzania angekua nayo kuliko kulipa 8000 au 10000 kila mtu anapougua

Halafu hizo 200 wanazotoa ushuru ni kusafisha masoko na kuyaendeleza huyo jpm wenu anayeng'ang'ania hiyo 20k ya vitambulisho ndo atakuja kuwasafishia masoko na kuyaendeleza????Sent using Jamii Forums mobile app
Ndomana wakaambiwa wakate vitambulisho kuondoa kero za ushuru ndogondogo za kila siku kwenye iyo pesa wanayolipa ya kitambulisho ndo itafanya kazi izo zote iwe ni kusafisha soko au kuliendeleza msipende kupotosha watu alichokifanya raisi kimekuwa msaada mkubwa sana kwa wafanya biashara ndogondogo ulikuwa mara ushiru usafi mara ushuru wa mlinzi mara ushuru wa kuendeleza soko kila siku ambavyo vilikuwa vinaumiza zaidi sasa havipo kama utakuwa na kitambulisho ninaongea nina ushaidi coz mi mwenyewe ni mfanya biashara soko la tegeta hapa na hakuna usumbufu uliokuwepo mwanzo kabla ya hivi vitambulisho
 
jonas amos

jonas amos

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
1,700
Points
2,000
jonas amos

jonas amos

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
1,700 2,000
Bora alip 20000 kuliko kulipa 200 mpaka 300 kila siku kama ushuru wa soko

200/300X30=6000/9000 kwa mwez mara mwaka 6000/9000X12= 72000au 96000 kwa mwaka

Ingekuwa wewe ungemshaur nini mama mjane huyu?
Sio kila kitu kubeza ama kupinga tu kuwa mjane hakukuondelei sifa ya kuwa mjenz wa taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jonas amos

jonas amos

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
1,700
Points
2,000
jonas amos

jonas amos

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
1,700 2,000
Wewe ni fala tu wa lumumba unaongea utadhani upo juu ya sheria yaani mimi nimpe akate kitambulisho 20k ikanunulie mandege ya kipumbavu sio bora nimpe tu akale na wanaye???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nachoshukur jpm anazid kusonga mbele pamoja na kumpinga kwa kila kitu inafika mahali inaonekana chiz mtaani na elimu yako isiyo na faida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
5,828
Points
2,000
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
5,828 2,000
Halafu Kuna sehemu nyingine hawajaelewa lengo na kauli ya Mh Rais kuhusu hivi VITAMBULISHO,Kuna mtu anabiashara ndogo haijalishi mtaji wako ni elfu ailmuradi usizidi m4 unapaswa kuwa na kitambulisho.sasa utakuta mijitu mingine kwa nafasi ilizonazo inakulazimisha ukate leseni wakati mtaji haufiki m1 na kitambulisho hicho unacho!
 
pansophy

pansophy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
474
Points
250
pansophy

pansophy

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
474 250
We hebu waza kina mama wajane wanaouza nyanya au vitunguu au bamia au karoti za 200 au 300 sokoni wanalazimishwa kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali si uonevu tu huu?

Hili soko nimelificha tu ningetaja kabisa tatizo ni kuwa ukitaja badala ya kusaidiwa wale wamama wanaouza wanaweza kushughulikiwa mpaka wakajuta

Kibri gani kimewapata watawala nanukuu

"we mama muuza vitunguu kama hutakata kitambulisho cha ujasiriamali keshokutwa nisione ukikatiza hata kwenye geti la sokoni hatutaruhusu ufanye biashara"

Huyo mama alijibu kwa unyonge mno
"Jamani hivi vitunguu hata ndoo ndogo havifiki kwa siku nikiuza simalizi hata sadoline tatu nitatoa wapi hiyo elfu 20 ya kitambulisho vitunguu vyenyewe tunapanga hapa chini ili tubangaize"

"Mama hata useme nini hilo ni agizo na lazima utaratibu ufuatwe" wakaondoka (wapo sita) wakamfata mfanyabiashara mwingine

Nilihisi kutokwa jasho kwa hasira yaani hadi machozi yalitaka kunidondoka mmeshindwa kutafuta njia za kupata mapato huku tuna rasilimali nyingi badala yake mnakamua Wanawake wajane?

Hii ndo sera ya Magufuli?

Huo urais wa wanyonge uko wapi?

Nimeumia sana mtu anauza vitunguu 300 fungu na anauza amepanga ardhini juu ya mfuko wa salfet unamfukuza sokoni kisa ya 20000 na kitambulisho? Mlaaniwe mnaofanya dhuluma wote

Nimeumia mno
ulivyomuangalia na kusikia sauti yake ukajua ni MJANE? Tuache propaganda za kishamba
 
Ulichukua hatua gani au ndio uliishia kupiga selfie na kuja kuleta upupu hapa?
 
pansophy

pansophy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
474
Points
250
pansophy

pansophy

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
474 250
Hiyo 20000 kwa mkupuo wataipata wapi??Ingekua hivyo kila mtanzania maisha yangekua simple

Mfano bima ya afya ya middle hosptal ni 50000 mpaka laki kwa mwaka ingekua ni simple hivyo kila mtanzania angekua nayo kuliko kulipa 8000 au 10000 kila mtu anapougua

Halafu hizo 200 wanazotoa ushuru ni kusafisha masoko na kuyaendeleza huyo jpm wenu anayeng'ang'ania hiyo 20k ya vitambulisho ndo atakuja kuwasafishia masoko na kuyaendeleza????Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kufikiria kwa sauti, hizo ni shughuli za manispaa husika
 
Nyox official

Nyox official

Senior Member
Joined
Feb 12, 2019
Messages
141
Points
225
Nyox official

Nyox official

Senior Member
Joined Feb 12, 2019
141 225
Mjomba alisema kuwa ' ..mwenye mtaji wa chini ya mil. 4 ndio anapaswa kulipia kitambulisho.' Maana yake hata kama uwe na mtaji wa buku na ni mfanya biashara,lazima ulipie kitambulisho.

Lakini jamaa, nilidhani ungemlipia huyo mama si ingekuwa poa sana...kuumia ma kukasirika hadi unatokwa jasho bilakutoa msaada ni uboya,usirudie tena huo ujinga.
Nan kakwambia n huyo mama mmoja tu ndo alikua anadaiwa?tujarbu tu kua wakwel,hiv vitambulisho vimewarudisha hao wanaoitwa wanyonge nyuma kabxaa kwan nkipta masoko mengi wengi wa wachuuzi wameshindwa ku afford hyo 20000 na kuamua kurudisha mpira kwa gol kipa
 
0ozg Tz

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
336
Points
500
0ozg Tz

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
336 500
Unajua kuwawanalipa sh.200kila siku kamaushuruwa soko, na hii ilikuwa zamanisiku hizisiajabu ni500sasa 200*365=75000, kwa wenye akili, hivi vitambulisho vilitakiwa vinunuliwe viishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo watu hamuelewi,20,000/= ni ya rais,afu 500 kila siku ni ya soko inahusika katika usafi hyo ipo kama kawaida
 
0ozg Tz

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
336
Points
500
0ozg Tz

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
336 500
Hapa nilipo wafanyakazi wote wa halmashauri wamepewa kila mtu vitambulisho kazaa auze haraka iwezekanavyo,sasa kuna wenzangu na mimi wanahaha hawajui hata wamuuzie nani,wanazunguka navyo kama wamachinga,
Maisha yanaenda kasi.

Never say never
Sahiv kuwa mtumishi Wa juu katka halmashauri ni shida,unafanya kaz kama mtumwa
 
Jr. Gong Mira

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Messages
956
Points
1,000
Jr. Gong Mira

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2017
956 1,000
We hebu waza kina mama wajane wanaouza nyanya au vitunguu au bamia au karoti za 200 au 300 sokoni wanalazimishwa kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali si uonevu tu huu?

Hili soko nimelificha tu ningetaja kabisa tatizo ni kuwa ukitaja badala ya kusaidiwa wale wamama wanaouza wanaweza kushughulikiwa mpaka wakajuta

Kibri gani kimewapata watawala nanukuu

"we mama muuza vitunguu kama hutakata kitambulisho cha ujasiriamali keshokutwa nisione ukikatiza hata kwenye geti la sokoni hatutaruhusu ufanye biashara"

Huyo mama alijibu kwa unyonge mno
"Jamani hivi vitunguu hata ndoo ndogo havifiki kwa siku nikiuza simalizi hata sadoline tatu nitatoa wapi hiyo elfu 20 ya kitambulisho vitunguu vyenyewe tunapanga hapa chini ili tubangaize"

"Mama hata useme nini hilo ni agizo na lazima utaratibu ufuatwe" wakaondoka (wapo sita) wakamfata mfanyabiashara mwingine

Nilihisi kutokwa jasho kwa hasira yaani hadi machozi yalitaka kunidondoka mmeshindwa kutafuta njia za kupata mapato huku tuna rasilimali nyingi badala yake mnakamua Wanawake wajane?

Hii ndo sera ya Magufuli?

Huo urais wa wanyonge uko wapi?

Nimeumia sana mtu anauza vitunguu 300 fungu na anauza amepanga ardhini juu ya mfuko wa salfet unamfukuza sokoni kisa ya 20000 na kitambulisho? Mlaaniwe mnaofanya dhuluma wote

Nimeumia mno
Mkuu kwa kufuta machungu ni jambo jema ungetoa 20,000/= ukampatia japo mama mmoja tu hakika angepata baraka sana kwa mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,284,194
Members 493,978
Posts 30,816,820
Top