Nilichokiona Muhimbili Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilichokiona Muhimbili Leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Jun 29, 2011.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu hamjambo? Jana nilikuwa Muhimbili na leo pia. Jana nilimwona binti mmoja akiwa na majeraha kama ya ajali ya gari hivi, lakini leo nikajikuta mgonjwa wangu na binti huyo wote wako sehemu moja ktk wodi. Kilichonisukuma kusema ni hiki:

  Yale majeraha miguuni, usoni na jicho kujaa damu, mkono na mbavu kuvunjika vilitokama na wezi. Wezi hawa (WAtafutiwe jina tafadhali) walimkuta barabarani jioni ya saa moja yeye na wenzake wakitokea kazini maeneo ya Mzizima Seko. Pale ilikuja gari ikapunguza mwendo hadi ikawa kama inasimama, abiria mmoja akatoa mkono nje akijifanya kumsalimia dada huyo, lo!

  IIe yule dada kupeleka mkono naye asalimie yule abiria akaukamata koba wake ,gari VUUUUUUUUM! likaondoshwa huku wakimburura binti yule. Bahati mbaya kwa binti yule bangili yake ikanasa mkoba hivyo ikachangia mbururao.

  Walipoona vipi vipi yule binti akasukumwa huko kwa nguvu, wenzake wanasema walichosikia ilikuwa ni kishindo cha binti yule kutupwa huko. Hivi ninapomwona jana ilikuwa ni wiki mbili zikiwa zimepita na alipoteza fahamu kwa siku kama kumi hivi. Sina maoni sina ushauri asanteni.
   
 2. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Eenh! Mungu baba mpe uzima dada ye2.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Too Bad!
  Tuepuke kupeana mikono na watu wageni...ni aliens hawa!...Ona sasa!
  Pole sana binti!.
  Mungu akujalie afya yako ya awali!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Huo mchezo upo mitaa mingi, style hiyo imeripotiwa humu janvini na imetokea hata mbele ya lango la ikulu, mikocheni karibu na mikocheni hospital na rose garden
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wanawake wawe wanajitanda kanga kuepuka wizi huu ambao polisi kwa makusudi mazima wameamua kuufumbia macho
   
 6. D

  Danniair JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unachosema ni kweli ndg Kiranja
   
 7. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hata pale ifm ni common sana, hasa ile njia ya kwenda magogoni.Pole yake huyo nj tuombe Mungu maana hatujui kesho watakuja na mbinu gani.
   
 8. p

  pori Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana dada, mwenyezi mungu akuponye haraka. hao wezi wa staili hii siku zao zinahesabika. kuna mtaa mmoja (siutaji) wamejipanga kuweka mtego wa kuwafyatulia risasi wao au matairi ya gari/pikipiki na kisha kuwazingira na kuwakamata au kuwaponda kwa mawe hadi wafe. hawa dawa yao ni kumalizana nao tu mtaani, hakuna haja ya kupoteza muda wa kupelekana polisi
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Wakijitanda kanga inakuaje mkuu? wezi wanaogopa kanga?

  Na wale wanaochangamkia wallet tufanyeje? tufae kanzu au iweje?
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Da! Inasikitisha mno.
  Ila inakuwaje mtu unatoa mkono tuu kwa mtu ambaye hata humfahamu? au kwa kuwa yupo kwenye gari!!
  Pole kwa huyo dada, Mungu amponye mapema.
   
 11. Bernard Rwebangira

  Bernard Rwebangira R I P

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Too sad, pole sana kwa dada kwa yaliyokupata, wizi huu umeibuka na taratibu waota mizizi tusipoangalia tutakuwa kama sauzi mtu anapigwa ambushi mtaani mchana kweupee,
   
 12. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha kwa kweli,Mungu amponye
   
 13. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Na mgomo huu sijui vipi
   
Loading...