nilichokiona leo kwa house girl wetu

duh! bi mkubwa sio kabisa ila mtu wa ivi ukimjulia unakua unakaa mbali na anga zake basi
ukitaka kuaibika mtaana we mwambie ukweli au mashauri tofauti na anavyojua au anavyotaka yeye katika akili yake ndo utajua utamu wa jiji,bi mkubwa wangu ni nouma kwa umbea na wasichana wa kazi huwa hawalijui hilo hulijua baada ya kuondoka na kupewa taarifa na marafiki zao na kutulaumu watoto wake kuwa tunamsema vibaya kumbe ni yeye mwenyewe
 
Ndugu wananchi,hivi hapa tupo chichat au mmu?
Mods hamisheni hii maneno fasta.
Chichat ni full chereko,hakuna vya usirias hapa,mmenisikia? Hasa we modi wa hiyari Erickb52.
 
Last edited by a moderator:
..hujawahi sikia huu msemo kwamba

.."wanawake
hawapendani" ?
 
Awa wazazi wetu wanabidi kukemewa kwa tabia hii maana wengi wao wanafanya hivo majummbani na wewe ulibidi uwe wa kwanza kuongea na b-mkubwa maana angekusikiliza wewe zaidi ya mwingine yeyote...
 
Back
Top Bottom