Nilichokiona kwa monicaa wa jif, nilijua ni yule kwa avator kumbe yupo hivi?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,363
1476616766690.jpg
walai nikiwa kituoni namsubiri monicca walai sjaamini macho yangu baada ya kufika mdada mmoja aliyejitambulisha kuwa yey ndo monica wa jf, walai nimekimbia kutoka kituoni mpaa kwangu paspo kuamini nilicho kiona jaman help me huyu ndo monicaa wa jf au kanitengezea zengwe ili nimkose jamani huyu ndo monicaa wa jf mwenye nyodo zote zile?
 
View attachment 419093 walai nikiwa kituoni namsubiri monicca walai sjaamini macho yangu baada ya kufika mdada mmoja aliyejitambulisha kuwa yey ndo monica wa jf, walai nimekimbia kutoka kituoni mpaa kwangu paspo kuamini nilicho kiona jaman help me huyu ndo monicaa wa jf au kanitengezea zengwe ili nimkose jamani huyu ndo monicaa wa jf mwenye nyodo zote zile?
Mkuu acha bangi na virobaa,, onasasa unavyo fanya
 
View attachment 419093 walai nikiwa kituoni namsubiri monicca walai sjaamini macho yangu baada ya kufika mdada mmoja aliyejitambulisha kuwa yey ndo monica wa jf, walai nimekimbia kutoka kituoni mpaa kwangu paspo kuamini nilicho kiona jaman help me huyu ndo monicaa wa jf au kanitengezea zengwe ili nimkose jamani huyu ndo monicaa wa jf mwenye nyodo zote zile?

Yu need jesus
 
Nilijua hawezi kuja, utaishia kumpaka tu!!
Khee kheeeee kheeeeeee kheeeeeeeeeeeeee.
 
hiyo picha hapo ndio kituoni ama?
Si ulimwona kituoni ukakimbia hadi kwenu?

Hebu kuwa serious muda mwingine
 
mda wa kumfotia uliupata saa ngapi? au we ndie bwana harusi ulie muoa ndoa ya mwezi ikavunjika hivo unakuja kufanya kisasi cha vijembe humu kam yey afanyavo juu yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom